Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...

Hutaki kazi ngumu na kazi huna....

Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..

Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..

Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...

Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....

Kama kuna swali nakaribisha
Sasa uulizwe swali lipi mtoa mada

Hii ni kama Ile mwalimu anaingia darasani anasema naitwa Fulani naomba mniulize maswali kabla sijaendelea 🫴🫴🫴🤔
 
Screenshot_20240921-214935~2.jpg
 
Back
Top Bottom