Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ukapimwe akili kabla hujaanza kuokota makopo-the earlier,the better.Corona ikiingia wakulaumiwa ni CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukapimwe akili kabla hujaanza kuokota makopo-the earlier,the better.Corona ikiingia wakulaumiwa ni CHADEMA
Wenye kampuni za utalii watusamehe
Dalili za wazi kabisa ni kuwa Korona ipo Tanzania tayari. Ila serikali imeamua kuificha isijulikane kama ipo.
Niliwawahi. Ila taarifa zilikuwa zimeshasambaa. Hata wasingesema wapo ambao wangesema.Sasa wameamua kufunguka
Airport zote duniani wanachofanya ni temperature screening ndio maana wanalazimisha watu wakae siku 14 isolation kabla ya kuingia mtaani kwao , hivyo kupita airport sio ajabu.Huyo mgojwa wa kwanza katushinda apemenya, na kwa kifupi wataalam wetu mipakani na viwanja vya ndege wanamtegemea mhusika mwenyewe ndo aseme wala sio vipimo vyao na kama vipimo vingekuwepo sampuli isingepelekwa Dar.