Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Hawana hoja sasa hivi wamebaki kuwa kama wachekeshaji na waigizaji.
 
Mwita sitegemii hata mm arudi bungeni, sio kiongozi, hajui hata kidogo kuomba kura wala kauli zake ni chafu chafu, jimbo lolote lile ataangushwa kabisa
 
anaumwa nini ?
Mzee wa Twitter anasema ni "changamoto za kupumua" lakini la ziada ni kuwa katika vipimo NGWENGWE nayo imechimbuliwa hivyo alihitaji vidonge vya "kwa hisani ya USA"
 
Huyu jamaa ni hovyo kabisaaa
 
Kwa uchaguzi wa 2020, mtu yoyote akiishapitishwa na CCM, ndiye Mbunge!.
Ikitokea Waitara asipitishwe CCM, then sababu itakuwa ni hii kwenye bandiko langu hili
Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Nilitoa angalizo hili kuhusu kitu kinachoitwa karma
Karma is real.
P
 
Mbeleko ya vyombo vya dola inatosha kumbeba.
 
Hii nchi bdo tupo ktk ujima
Nazan tungepata katiba mpya na tume huru ya uchaguz ingekua ni bora sana nimeshangaa kuona nchi kama malawi matokeo ya urais yanapingwa mahakaman cjui hku kwetu tunasubr muujiza upi??

Its not over until its over...[emoji769]
 
Hawa ndiyo ma DC wajao....kama baba yao atapita!! Ubunge ni kweli ashabugi...chama chetu kumbeba mtu kama huyu ni kutaka kuwagombanisha wanachama wa CCM wale wafia chama na hawa CCM ujio wa manunuzi.
 
Tena Dodomaaa yenyewe ya kule Kongwa kwa andunje. Lile eneo kwa kweli Mungu tu alisaidie maana sio kwa ule umasikini. Ndio maana anunje anamchukia Mwamba kwa sababu ya inferiority complex aliyonayo
Uwe na adabu ndugu.we ni tajiri mbona hatukusikii ukitajwa Kama akina bakhresa au mo dewji
 
Ukweli mtupu ,huku ukonga sijaona cha maana alichofanya.
 
Ukweli mtupu ,huku ukonga sijaona cha maana alichofanya.
Mzee wa kukusanya wana CCM hasa wakulya na kuwapinga mipombee wakishalewa anawapa na elfu kumi kumi ya supu!! Dhambi kubwa kutumia njaa ya mtu kupandia daraja!!
 

Matokeo fikirishi.
 
Vipi mkuu huko tarime vijijini? Wazima?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…