Kwahiyo unafikiri ukijua ndio utakuwa huru,au ndio umefumua matatizo!labda kama mkeo mlishachokana hivyo unamtafutia sababu muachane,ukumbuke ukikuta sio wako kitakachofuata ni kutomuamini mkeo tena,wewe mwenyewe utaanza kupata mateso ya kuchomoa upendo wako kwa mtoto ambaye uliamini ni wako na yeye alijua wewe ni baba yake,hii nayo itakutesa sana,jiandae kisaikolojia kuumia kwa kujua kuwa marafiki na ndugu pia nao sasa watajua kuwa kumbe mkeo kachezewa sana bila ya wewe kujua...
Sent using
Jamii Forums mobile app