peter_intelligent
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 607
- 522
kama zipi hizo??DNA ya asili na ya uhakika ni kupitia Dada zako, Shangazi zako au mama zako wakimuona mtoto tu watakwambia kama ni wako au la! Hafu kwa uzoefu nilionao mtoto kama ni wako utaona zile force of attraction kati ya mtoto na baba mzazi
Sent using Jamii Forums mobile app