Njia rahisi inayokuwezesha kujua kama mtoto ni wako au sio wako

Njia rahisi inayokuwezesha kujua kama mtoto ni wako au sio wako

DNA ya asili na ya uhakika ni kupitia Dada zako, Shangazi zako au mama zako wakimuona mtoto tu watakwambia kama ni wako au la! Hafu kwa uzoefu nilionao mtoto kama ni wako utaona zile force of attraction kati ya mtoto na baba mzazi

Hii Hapana. Mungu amejaalia sana mapenzi kati ya Binadamu na binadamu. Unaweza kuwa Na force of attraction kwa mtoto na still asiwe wako. Wewe chukua mfano umlee mtoto sio wako kwa kujua tu na ukamuonesha mapenzi. Itafika pahala yule mtoto akiambiwa huyu si baba yako, anaweza kukataa kabisa. The best way ni DNA test. Zingine ni makisio tu.
 
Hii Hapana. Mungu amejaalia sana mapenzi kati ya Binadamu na binadamu. Unaweza kuwa Na force of attraction kwa mtoto na still asiwe wako. Wewe chukua mfano umlee mtoto sio wako kwa kujua tu na ukamuonesha mapenzi. Itafika pahala yule mtoto akiambiwa huyu si baba yako, anaweza kukataa kabisa. The best way ni DNA test. Zingine ni makisio tu.
Nakuambia hivi, damu yako hata ufanyeje utaiona tu kadri mtoto anavyokuwa kuna sifa zako baadhi utaziona kwake,
 
Jamani ukweli ni lazima usemwe,nadhani hii ni kwa wanaume wote wenye kuzalisha hamna kitu kibaya na kinamuama mwanaume kama kusingiziwa mtoto.
Kuna jamaa yangu alikuwa na mahusiano na binti,binti akawa mjamzito kwa kuwa jamaa kwao ni watu wa dini alifunga ndoa na binti akiwa mjamzito kuepusha uzinifu.
Baada ya miezi 4 mtoto kuzaliwa jamaa aligundua mtoto sio wake,kwa kweli jamaa alikuwa mtu ambaye hajawi kugusa pombe wala kuingia baa kwa mara ya kwanza nilimuona bar.alidhofika mithili ya mtu anaye umwa kifua kikuu na ndoa ilikwisha muda ule ule.
Jamaa yangu mwingine,alitaka kumpeleka mtoto kwa mama yake mwanamke akala winga,ndipo aligundua alichezewa keusi na kekundi.

Ushauri wangu kwa wadada kuna makosa mwanaume anaweza kusamehe lakini kitendo cha kumsingizia mtoto haman mwanaume anaye weza kusamehe labda awe na matatizo.
 
Unaelewa nini?

Hutakiwi kuniuliza nimeelewa nini

Ninauelewa zaidi yaliyoelezwa hapo

Ngoja nikupe mfano mmoja mdogo tu kwamba baba ni A+ mama 0+ na mchepuko B+

Mtoto akawa na group 0+ niambie kwa experience ya group la damu mtoto ni wa nani hapo?
 
Hutakiwi kuniuliza nimeelewa nini

Ninauelewa zaidi yaliyoelezwa hapo

Ngoja nikupe mfano mmoja mdogo tu kwamba baba ni A+ mama 0+ na mchepuko B+

Mtoto akawa na group 0+ niambie kwa experience ya group la damu mtoto ni wa nani hapo?
Umeelewaje points namba 1 na 2 katika maelezo yangu? Umesoma na kuelewa nilivyoandika kuwa majibu ya kweli ni yale yanayoonyesha mtoto sio wako?
 
Haya maumivu kasababishiwa na wazazi wake sio mm msingiziwa aka mpitanjia
...Umeishamlea Kiumbe kwa zaidi ya miaka 18 halafu, sijui unatafuta nini, unagundua kuwa sio mwanao!
So? Unamuambia kuwa mimi sio baba yako?

Unafahamu athari ya hili kwa Kiumbe ambacho toka kianze kupata ufahamu duniani kinajua kwamba wewe ndiye Baba yake?

Kitanda hakizai Haramu. Endelea kulea Kiumbe maana hana Kosa lolote katika hili na Dhambi iache kwa aliyeuza Mechi hadi yakayokea hayo...!!![emoji846][emoji846]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanawake wanaokwenda kujipachikisha ujauzito nje ya ndoa inabidi sheria kali itungwe ili wawe na adabu......

Me nashauri kuwe na kifungo hata miaka 30 sababu huyu mwanamke kitendo anachokifanya ni ishara ya kuchokoza mauwaji ya kikatili kwa kumsababishia mume wake hasira zisizozuilika......

Ndio maana nchi za kiarabu zinasheria kali sana kwa wanawake maana wanawajua kuwa wana mambo ya kiboya sana......

Sisi tunawachekea na hawa wajibishwi kisheria ndio maana adabu inazidi kuwa mbovu.

Yaani sheria iseme tu mwanaume afidiwe malezi ya damu isiyokuwa yake na pesa zinaweza kupatikana hata kwa kuuza mali za mwanamke au familia yake ndipo akili na umakini utarudi pahala pake.....

Mambo ya kipuuzi sana haya.... Na huwa wanadhamiria kufanya hivyo hakuna cha bahati mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una hasira sana aseee pole kama yaliwah kukukuta
 
Unagharamika bure kupima blood group. Shangazi,bibi au dada ni kipimo tosha.
 
Hivi kupima DNA ni rahisi kiasi gani. Hospital zipi wanatoa hii huduma?. Maana watu wengi wanasema tu "NENDA KAPIME DNA", lakini hawana hata ushuhuda wa mtu ambae alishawahi kufanya hicho kipimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
DNA kupima nadhani unaanzia mahakamani au ustawi wa jamii. Sijui. Fanya kwanza blood group test.
 
Back
Top Bottom