Njia rahisi inayokuwezesha kujua kama mtoto ni wako au sio wako

Njia rahisi inayokuwezesha kujua kama mtoto ni wako au sio wako

Hawa wamama na wadada wakisasa wavaa vipedo na wadangaji wanayajua haya?
Hawa wambie kufahamu aina za mawigi
DNA ya asili na ya uhakika ni kupitia Dada zako, Shangazi zako au mama zako wakimuona mtoto tu watakwambia kama ni wako au la! Hafu kwa uzoefu nilionao mtoto kama ni wako utaona zile force of attraction kati ya mtoto na baba mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alimpa mimba manzi mmoja. Jamaa akalea na kumtambulisha mama kijacho home. Baada ya kujifungua ikabidi ampeleke home.

Mzee wake kumwona tu mtoto akamwambia jamaa kuwa huyu mtoto sio wako. Bi mkubwa akawa upande jamaa basi ikabidi jamaa aendelee kulea.

Baada ya kama mwaka na kitu yule mwanamke ikabidi afanye confession kuwa ile mimba kweli alimbambika jamaa na sababu ni kuwa aliempa mimba alikuwa haeleweki asingeweza kumtunza kipindi cha mimba na baada ya kujifungua.

Basi jamaa ikabidi awe mpole tu nyumbani mzee akamwambia "nilikuambia". Bi mkubwa kichwa chini kwa aibu. Ikabidi kumwachia Mungu tu maiasha yanasonga ila mwanamke amerudi kwa baba halisi wa mtoto.
Ilinikuta hiyo,,sema niliishia kuilea mimba mpak miezi Saba halafu nikaitelekeza,,mpk Leo sijui mtoto yupoje.
 
Kwa kutumia simple Mendelian inheritance, mtoto hawezi kuwa group 'A', 'B', 'AB' wakati wazazi wake wote wawili ni group 'O' hapo ndo maswali yanaanzia, kwa wale michepuko wanaolazimishia kubambika watoto inabidi wajipange hasa kwa wanaume walioenda shule wataishia kuaibika
 
Ila wanawake wanaokwenda kujipachikisha ujauzito nje ya ndoa inabidi sheria kali itungwe ili wawe na adabu......

Me nashauri kuwe na kifungo hata miaka 30 sababu huyu mwanamke kitendo anachokifanya ni ishara ya kuchokoza mauwaji ya kikatili kwa kumsababishia mume wake hasira zisizozuilika......

Ndio maana nchi za kiarabu zinasheria kali sana kwa wanawake maana wanawajua kuwa wana mambo ya kiboya sana......

Sisi tunawachekea na hawa wajibishwi kisheria ndio maana adabu inazidi kuwa mbovu.

Yaani sheria iseme tu mwanaume afidiwe malezi ya damu isiyokuwa yake na pesa zinaweza kupatikana hata kwa kuuza mali za mwanamke au familia yake ndipo akili na umakini utarudi pahala pake.....

Mambo ya kipuuzi sana haya.... Na huwa wanadhamiria kufanya hivyo hakuna cha bahati mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Umeishamlea Kiumbe kwa zaidi ya miaka 18 halafu, sijui unatafuta nini, unagundua kuwa sio mwanao!
So? Unamuambia kuwa mimi sio baba yako?

Unafahamu athari ya hili kwa Kiumbe ambacho toka kianze kupata ufahamu duniani kinajua kwamba wewe ndiye Baba yake?

Kitanda hakizai Haramu. Endelea kulea Kiumbe maana hana Kosa lolote katika hili na Dhambi iache kwa aliyeuza Mechi hadi yakayokea hayo...!!![emoji846][emoji846]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na wewe unamlaumu vipi mwanaume hapo, ukisema mwanaume akubali ina maana una halalisha watu kutombwa nje ya ndoa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unaogopa kugundua kitu ambacho tayari kinaexist? Hakuna ugumu, na ndio mke atajifunza kuwa ubaya haulipi. Utakuwa huru,na utajionea maajabu ya dunia hii.
Kama mtu aliona ni sawa kukusingizia ujauzito jua hatoona vibaya kukumaliza achukue mali zako akazitumie na huyo mtoto asie wako.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Umeishamlea Kiumbe kwa zaidi ya miaka 18 halafu, sijui unatafuta nini, unagundua kuwa sio mwanao!
So? Unamuambia kuwa mimi sio baba yako?

Unafahamu athari ya hili kwa Kiumbe ambacho toka kianze kupata ufahamu duniani kinajua kwamba wewe ndiye Baba yake?

Kitanda hakizai Haramu. Endelea kulea Kiumbe maana hana Kosa lolote katika hili na Dhambi iache kwa aliyeuza Mechi hadi yakayokea hayo...!!![emoji846][emoji846]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa Mwaka jana ndoa ya miaka 20 imevunjika baada ya jamaa kugundua mtoto wa mwisho wa miaka 10 sio wa kwake. Na jamaa sasa hivi kawa chapombe balaa mpaka Afya imedhoofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijaelewa chart yako
Unaweza kujua mtoto sio wako kwa jaribio rahisi tu. Nalo ni kutumia blood test. Angalia chati hii:

Paternity_Blood_type_Chart-590.jpg


Kutoka kwenye blood group chart:

1. Kama ukipima na kukuta group la mtoto linaendana na magroup ya damu ya wazazi, sio guarantee kuwa mtoto ni wa kwako. Kwa sababu kuna uwezekano wa mwanaume mwenye group la damu kama yako au jingine ambaye akizaa na mkeo mtoto ataonekana ni wa kwako. Baada ya matokeo haya, kupata uhakika kama mtoto ni wako au sio, nenda kafanye DNA test. DNA test hutoa majibu ya uhakika kwa 99.9%.

2. Ukikuta group la mtoto haliendani na ya wazazi, jua 100% mtoto sio wako.

Kufanya blood group test, nenda hospitali, wewe, mama na mtoto, utatozwa kiasi cha TZS 10,000 - 15,000 kwa kila mtu.

Majibu ya kweli ya njia hii, ni yale yanayodisaprove kuwa mtoto sio wako, yaani namba 2 kama nilivyoeleza hapo juu.

Unaweza kuwa tayari una majibu ya blood group la mama kwa kutumia kadi ya kliniki, na unaweza kuwa ulipima na kujua blood group lako, kwa hiyo hapa kazi iliyobaki ni kujua blood group la mtoto na kuangalia hiyo chati.

Ukikuta mtoto sio wako mlee, lakini ukweli utakuwa umekuweka huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom