Ila wanawake wanaokwenda kujipachikisha ujauzito nje ya ndoa inabidi sheria kali itungwe ili wawe na adabu......
Me nashauri kuwe na kifungo hata miaka 30 sababu huyu mwanamke kitendo anachokifanya ni ishara ya kuchokoza mauwaji ya kikatili kwa kumsababishia mume wake hasira zisizozuilika......
Ndio maana nchi za kiarabu zinasheria kali sana kwa wanawake maana wanawajua kuwa wana mambo ya kiboya sana......
Sisi tunawachekea na hawa wajibishwi kisheria ndio maana adabu inazidi kuwa mbovu.
Yaani sheria iseme tu mwanaume afidiwe malezi ya damu isiyokuwa yake na pesa zinaweza kupatikana hata kwa kuuza mali za mwanamke au familia yake ndipo akili na umakini utarudi pahala pake.....
Mambo ya kipuuzi sana haya.... Na huwa wanadhamiria kufanya hivyo hakuna cha bahati mbaya.
Sent using
Jamii Forums mobile app