The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Wewe mkaldayo weweeWakwako ulijuaje we Myebusi?
Wewe mkaldayo weweeWakwako ulijuaje we Myebusi?
Unaelewa nini?Huenda ni kawa naelewa zaidi ya kilichoandikwa
Jibu swali tupeane uzoefu.Wewe mkaldayo wewee
Kuna jamaa yangu alimpa mimba manzi mmoja. Jamaa akalea na kumtambulisha mama kijacho home. Baada ya kujifungua ikabidi ampeleke home.
Mzee wake kumwona tu mtoto akamwambia jamaa kuwa huyu mtoto sio wako. Bi mkubwa akawa upande jamaa basi ikabidi jamaa aendelee kulea.
Baada ya kama mwaka na kitu yule mwanamke ikabidi afanye confession kuwa ile mimba kweli alimbambika jamaa na sababu ni kuwa aliempa mimba alikuwa haeleweki asingeweza kumtunza kipindi cha mimba na baada ya kujifungua.
Basi jamaa ikabidi awe mpole tu nyumbani mzee akamwambia "nilikuambia". Bi mkubwa kichwa chini kwa aibu. Ikabidi kumwachia Mungu tu maiasha yanasonga ila mwanamke amerudi kwa baba halisi wa mtoto.
Umeshamalizwa, kubali yaishe.NB:hii ni kwa wale wanaotaka kushika mwizi.wale ambao wamekubaliana kwa matatizo mbalimbali haina haja.unakuta baba ana sura personal sana ilhali mtoto amekaa kiingereza sana.sponsors ni wahanga wakubwa wa hili.
Wewe noma, siku ukifa tujulishwe msiba wako ulipo. Halafu ukute wewe ni mzee wa heshima nchini!hahahaha nadunda mzee yaani mie mwenyewe najishangaa kuwa bado nipo hai pamoja na kugegegda kote huku. kweli ukimwi haupo wanatudanganya tuu
Acha watu waishi kwa amani, watoto wengi ndani ya ndoa nyingi sio wa baba husika, sasa wewe unataka kuvunja ndoa au lengo la Uzi wako Ni nini? Back to mine... Baba angu Ni halisi, nafanana kila kitu, halafu mie hata ikitokea niwe na mchepuko nikitaka kubeba mimba lazima nibebe ya mume wangu labda kama kutakuwa na sababu maalumu ndo nitabeba ya mchepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanye blood test, leta majibu ya magroup ya damu, nipm nikuelezee.
Mama yako mzazi au baba akimshika mwanao anajua kama ni wako au la bas! inatosha ukiona mama anakuangalia kwa jicho flani juwa umeshkishwa.
Ok mke wangu group zeroKafanye blood test, leta majibu ya magroup ya damu, nipm nikuelezee.
Rejea, kitanda hakizai haramu.Hivi kwanini ishu ya mtoto ni wako au si wako ni issue kubwa sana kwa Waafrika? Wenzetu Wazungu ku "adopt" mtoto na kumpa haki zake zote kama mtoto wake ni kawaida sisi tunashindwa nini kuendelea kumtunza na kumpa mtoto anayekutambua kama baba na hajui au hatakaa kuja kujui baba mwingine haki zake za msingi?
Mimi sioni shinda kutunza watoto wote waliozaliwa ndani ya nyumba yangu so long wananiita baba afterall mimi naitwa wa ukoo fulani nina uhakika gani kweli ni wa ukoo huo?
Ukichunguza mambo mengine yanaweza kuzua balaa, ni bora kuyaacha yalivyo. Ungalijua alacho nyuki, usingalionja asali.Haya mambo magumu sana kuyafuatilia unaweza jikuta hata huyo unamuona na kumuita baba Kumbe syo baba yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi. Heshimu science na fuata kanuni zenye formulas.
Ingekuwa rahisi hivyo DNA isingehusika.
Huo uvumbuzi wako unaweza kukuletea maafa
Sent using Jamii Forums mobile app