Malaika wa kike wapo ila hawahitajiki kuitwa kwa kuwa hawaishi gizani na hawana mawaa kwahiyo wapo na tunao katika maisha yetu ya kila siku kila saa kila dakika na kila sekunde
Tunaambiwa Mara nyingi kuna malaika mlinzi lakini je ulishawahi kusikia kuhusu jini mlinzi?
najaribu kuelewa ila nashindwa, kwa kuwa siwaoni ningependelea kuwaona kufikisha yangu ya moyoni kwa malaika, kama atanielewa.
mu majini siwaamini kivile, hata vitabu vinatutaadharisha.
Aisee.
Two wrongs don't make it right maana yake ni makosa mawili hayafanyi kitu kiwe sahihi. Sasa ukishaelewa maana ya hio statement rudi usome kama ulichoandika kina leta maana yeyote ile.
Watu waliogopa hata kuchangia mm nimesoma tuu aisee mbona tunatishana lkn
teh teh teh
hiyo ndiyo akili Mtu mweusi,wakati whites wanatengeneza time machine,black anamtafuta "jini mpole".......i'm quite dumbfounded
Donald trump was right...!
Hahahahahahahaaa? nmecheka sn kw donald trump yan mwonekano wake na maneno yake vinaendana kabsa.
Hapa na mini ni mwanafunzi nitajaribu hivyo kesho nikienda msata
Mkuu sitaki ni conclude lakini kwa ufuatiliaji wangu wa haya mambo,malaika wote ambao walishawahi kutokea kwa watu au tumesoma habari zao gender yao ni masculine,naomba reference kutoka kitabu chochote kile Bible,Quran au cha mwandishi yeyote(reliable) ambapo pametajwa kuna malaika wa kike.Malaika wa kike wapo ila hawahitajiki kuitwa kwa kuwa hawaishi gizani na hawana mawaa kwahiyo wapo na tunao katika maisha yetu ya kila siku kila saa kila dakika na kila sekunde
Tunaambiwa Mara nyingi kuna malaika mlinzi lakini je ulishawahi kusikia kuhusu jini mlinzi?
Mkuu sitaki ni conclude lakini kwa ufuatiliaji wangu wa haya mambo,malaika wote ambao walishawahi kutokea kwa watu au tumesoma habari zao gender yao ni masculine,naomba reference kutoka kitabu chochote kile Bible,Quran au cha mwandishi yeyote(reliable) ambapo pametajwa kuna malaika wa kike.
Baadhi ya majina ya malaika wanaojulikana ni Michael, Gabriel, Lucifer .usikwepe swali mkuu napenda nijifunze unayoyajua naamini yatanisaidia kwa kazi yangu.
Sorry hao Kuan iyi pussa na bodhisattvas katika Buddhism ni malaika au?Ni sahihi kabisa lakini kwa kuwa malaika ni roho anaweza kukujia kwa umbo lolote lile,Hafungwi na nira za jinsia ni kama kwenye Buddhism yule Kuan iyi pussa na bodhisattvas wanakuja kwa mambo ya kike na kiume kutegemeana na shida husika
Hawa bodhisattvas hawana tofauti na malaika kwenye hizi imani nyingine
Sorry hao Kuan iyi pussa na bodhisattvas katika Buddhism ni malaika au?
Mkuu Yehova ameeleza katika kitabu chake,hapakuwa na malaika aliye tumwa mwanamke si kwamba napingana na maelezo yako.swali langu ni hata Christians wanajua kuna mambo mengi yasiyojulikana amabayo roho mtakatifu huwafunulia watu.nachotaka kujua kwako hii elimu ya kuna malaika wa kike,kama ulisoma sehemu au uliambiwa ulifunuliwa na roho mtakatifu au kitu gani kilikupa hii elimu?Na kama ni mtu mwingine alikuwa na huu ufahamu wa malaika wa kike nani alimfunulia kumbuka,falme zote zinatumia wanadamu.
Kumbuka tuna falme mbili mmoja wa giza mwingine wa nuru,na falme zote hizi zinahitaji roho za wanadamu aidha kuziponya au kuziangamiza.
Malaika wa kike wapo ila hawahitajiki kuitwa kwa kuwa hawaishi gizani na hawana mawaa kwahiyo wapo na tunao katika maisha yetu ya kila siku kila saa kila dakika na kila sekunde
Tunaambiwa Mara nyingi kuna malaika mlinzi lakini je ulishawahi kusikia kuhusu jini mlinzi?
Hivi malaika wanahitaji Jinsia ili wazifanyie nini??
umejuaje kuwa wapo?
Malaika nao pia wana majukumu ya kazi kulingana na jinsia?
Mkuu nimekuelewa labda kama swali limekuwa gumu niliulezi kwa njia nyingine.nakubaliana na malaika kuwa roho hayo najua tangu utoto wangu,nilichotaka kujua kutoka kwako wala sikukataa uwezekano wa malaika kuwepo wa kike direct kwani hata kwenye bible walikuwa wanahesabiwa wanaume tu.Nilichotaka kujua kutoka kwako,inawezekana hata Yehova alikuwa nao malaika wa kike ila hakuwahi kuwatumia na labda hata watumia kwani hatujawahi sikia,wewe elimu ya kwamba kuna malaika wa kike aliyekupa alifunuliwa na roho mtakatifu au aliambiwa na nani?Kumbuka hao ni spirit,ni lazima kuna spirit ilicommunicate na mwanadamu au walimtokea mtu.Naona bado hujanielewa mahali nimesema kwanza malaika hawezi kuonekana kwa kuwa ni roho pili nikasema roho inaweza kujivika umbo lolote lile au la jinsia yoyote ile
Mkuu nimekuelewa labda kama swali limekuwa gumu niliulezi kwa njia nyingine.nakubaliana na malaika kuwa roho hayo najua tangu utoto wangu,nilichotaka kujua kutoka kwako wala sikukataa uwezekano wa malaika kuwepo wa kike direct kwani hata kwenye bible walikuwa wanahesabiwa wanaume tu.Nilichotaka kujua kutoka kwako,inawezekana hata Yehova alikuwa nao malaika wa kike ila hakuwahi kuwatumia na labda hata watumia kwani hatujawahi sikia,wewe elimu ya kwamba kuna malaika wa kike aliyekupa alifunuliwa na roho mtakatifu au aliambiwa na nani?Kumbuka hao ni spirit,ni lazima kuna spirit ilicommunicate na mwanadamu au walimtokea mtu.
Kuhusu wao kuwa spirit na kuweza kuchukua jinsia yeyote concern yangu mbona wakati wa zamani hawakuwahi kuchukua hiyo ya kike,kwani malaika wote tuwajuao kwa majina gender ni masculine.
How reliable is your source of information?
Nikufundishe kumuita Jinni wa kike?hivi mkuu hamnaga malaika wa kike, na hujui jinsi ya kuwaita?