Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado


Huo muda wa kutafuta sina,,,, nimeangalia kidogo tu not found. So Weka clip hapa kila mtu aone na tujue kama ni yeye, na waliomshuti na hamas!

Oh Allah! Help the Muslims in Palestine and in all places (around the world)
 
Video ilishafutwa kwa sababu ni ya kidhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu hata mm pia niliifuta. Ila ndugu zako wana roho mbaya Sana .

Wote hatuna uhakika kama ni hamas, imekuuma ya mtanzania mmoja, ila ya watoto wa gaza, wamama na wazee kuuawa ni furaha na vigelegele kwako. Pole sana.

Oh Allah! Help the Muslims in Palestine and in all places (around the world)
 
Ww ni mpumbavu tena kiongozi wa wapumbavu..Mpunbavu sio tusi ni cheo cha kubisha.Hivi ww isis ama al shabab ni majina ya kikristo ama hayo makundi yanafata dini ipi ww puuzi maandazi unakuja kubisha wakati hapo mkiru tu walifanya ujinga sana.Ungekua karibu ningekuchapa makofi
 
Watu wanakufa wewe unataka kudanlodi? Oya?!
Oyaaa sio kila comment u reply kaza mtoto wa kiume.
Mie nimeishi huko na ndugu yangu alishavamiwa wenzie wakauliwa ila yeye walimsamehe walipomuona ana msahafu ila mateso walimpa kama kumpiga bapa za panga kumvua nguo kumgaragaza chini wenzie walichinjwa na rafiki mzungu kaacha mashamba yake Montepues sababu ya hao na marafiki wa Mozambican wanalalamika hawana raha nikasoma Uzi kujua chanzo haswa mpaka kufikia hapo aliposema ana muondelezo ndipo nikamwambia natamani ingekuwa movie ni download nisi subiri muendelezo mpaka mwisho.
 
Nangoja uzi basi. Mbona hivi?
 
WaAfrica tumepigwa upofu sana aisee, Moja ya silaha muhimu mpaka sasa ambazo watesi wetu wamezitumia vizuri ni hizi dini mbili Christian na Islam. Hizi dini inawezekana sio tatizo lakini tatizo nisisi tuliozipokea na wahusika waliozileta na wahuni waliojipenyeza Kwa maslahi binafsi.

Moja ya makosa makubwa ambayo Mwafrica anafanya ni kutoweka utaifa na Uafrica mbele kwanza kuliko jambo lolote, baadala yake Mwafrica ameweka maslahi ya waliomletea dini kuliko ndugu zake weusi.
Ni rahisi Kwa Mwafrica kulinda maslahi ya Mzungu au Muarabu kwa kigezo cha dini kuliko kulinda na kuweka maslahi ya WaAfrica wenzie mbele.

Udhaifu huu wa Mwafrica ndio umefanya mashirika ya kijasusi duniani kote kuendelea kufanya manipulation kadili wawezavyo kuiwin Africa na kuendelea kuwaslave watu wake.
Romans pale Vatican zipo secret paper wanaozijua ni Wazungu wenyewe ambazo zinawunganisha USA, UK na all white from Europe kwenye agenda zao muhimu dhidi ya ukoloni wa kisasa kupitia kanisa Cathoric na namna gani watakuwa on top of all religions kwenye kucolonize na kuslave wengine.
Hapa ndio unaona pia waislam wamezidiwa na wale ambao ni kama pivot ya uislam aka Saudia inabidi wadissolve mwisho wa siku baadhi ya waislamu wameweza kutekwa na kuingia kwenye vikundi wasivyovijua asili yake lakini Lengo lake ni lilelile kucolonize baadhi ya maeneo na kutake control ya baadhi ya maeneo kupitia destabilization of piece na devide and rule.

BADO MWAFRICA ANAHITAJI UKOMBOZI MWINGINE.
 
N
Nakazia hapa ni shida sana
 
Nakusoma mkuu kuna mdau hapo juu kasema ukitaka kuchukua rasilimali za mtu bila kodi au return yeyote mwanzishie fujo (vita). Tuna la kujiuliza kwanini ni maeneo tu yenye raslimali muhimu za kitaifa? Kiuchumi, yanakuja makundi kama haya? Muda mwingine yanaletwa mapicha yenye taswira ya dini lakini akili ya kawaida inakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…