Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Ni kweli silaha kuu ni media kupitia DisimformationMkuu siraha kubwa ya ugaidi ni media...
Magaidi ukiwapa uwanja wa habari zao kutoka, hutowamaliza ng'o...hasa hao waliokua hawataki kujulikana(MKIRU)...
Lengo lao ni kutia hofu kwenye jamii...
Stori ya Azory Gwanda naamini tukichimba na kuuangalia ugaidi kwa mapana yake tutaujua ukweli halisi.
Hayajaanza juzijuzi hayo labda useme wewe umeyajua juzi juzi tuNipe stori na ni makundi yemeanza juzi tu hapa baada ya shambulio ya Marekani 😀 😀 😀
Kundi kubwa la kigaidi ni lile la mauaji ya kimbali kutoka vatican , mauji ya watoto huku Gaza miaka na miaka ...
Hayo makundi lin yamepigana na Israel ?
allah hana uwezo wa kunilaani. Lile jiwe nitaliiba siku moja pale macca. Sijasema kitu kibaya ila dunia bila uislamu ingekuwa sehemu salama sana.Una chuki iliyopitiliza kutokana na mafundisho ya mawakala wa shetani huko makanisani dhidi ya Uislamu na Waislamu, Mwenyezi Mungu akulaani Inshallah.
Mbona viongozi wa makundi ya Kigaidi na wafadhili wengi ni mashekhe?Ni kweli silaha kuu ni media kupitia Disimformation
Na huu ni mkakati maalum ambao unaratibiwa na baadhi ya watenda wavuta mangi.
Na wanaamini katika JIHADYameundwa na Waislam.
Hezbollah makao makuu ni Lebanon nchi ya kiislam
Al Qaidar makao makuu ni Qatar nchi ya kiislam
Mujahideen makao makuu ni Iraq nchi ya kiislam
Hamas makao makuu Palestina nchi ya kiislam
Muslim Brotherhood makao makuu Egypt nchi ya kiislam.
Alshabab makao makuu Somalia nchi ya kiislam.
ISIS makao makuu ni Syria na Yemen nchi za kiislam
Boko Haram makao makuu Nigeria Jimbo la Waislam.
Mbona hayapo nchi za wakrsto au unataka kusema Waislam ni wajinga sana kukubali makundi ya wàkristo yakae kwao kuchafua uislam wao?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio tatizo lako elimu kumbe , hapo makundi yameanza baada ya shambulio la mwaka 2001 kule Marekani . Je,unajua kwa nn?Hayajaanza juzijuzi hayo labda useme wewe umeyajua juzi juzi tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha...mambo yako hayaDetails za kutosha, umetisha sana Mkuu.
Nasubiri muendelezo.
Osam mbona ni wazi kibaraka wa Marekan 😀 😀 😀 .Mbona viongozi wa makundi ya Kigaidi na wafadhili wengi ni mashekhe?
Ni uongo kuwa Osama alikuwa Musilam
Ni uongo kuwa Shekhe Rogo alikuwa Musilam ?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu, una uhakika makundi hayo yote yalianzishwa baada ya 2001?Ndio tatizo lako elimu kumbe , hapo makundi yameanza baada ya shambulio la mwaka 2001 kule Marekani . Je,unajua kwa nn?
Shekhe RogoOsam mbona ni wazi kibaraka wa Marekan 😀 😀 😀 .
Mashekhe wapi unaongelea wewe?
Umeelewa kweli ? umetaja magroup mangapi hapo ? Haya kaangalie yameanza miaka ya 2001 kwend mbele ......Kaulize vizuri wakubwa wako.Mkuu, una uhakika makundi hayo yote yalianzishwa baada ya 2001?
Si kweli haya makundi huwa yanaibuka na kupotea au kupungua ushawishi tuNdio tatizo lako elimu kumbe , hapo makundi yameanza baada ya shambulio la mwaka 2001 kule Marekani . Je,unajua kwa nn?
Kulikuwa na ushahdi wa kutosha ?
Hayo makundi ndio maana unatakiwa kusoma origin yake ni shambulio la Marekani .. Lile kundi lililohusika ndio wakaja na haya madogo ili kukamata wahusika real .Si kweli haya makundi huwa yanaibuka na kupotea au kupungua ushawishi tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio utuambie ni makundi gani yameanza baada ya 2001. Pia hata kama yameanza baada ya 2001, haibadilishi maana ya kwamba hayo makundi yanafungamana kwa kiasi kikubwa na imani ya kiislam, hasa JIHAD.Umeelewa kweli ? umetaja magroup mangapi hapo ? Haya kaangalie yameanza miaka ya 2001 kwend mbele ......Kaulize vizuri wakubwa wako.
Muslim brotherhood ilianzishwa 1928Umeelewa kweli ? umetaja magroup mangapi hapo ? Haya kaangalie yameanza miaka ya 2001 kwend mbele ......Kaulize vizuri wakubwa wako.
Mpaka leo upo wa kutoshaKulikuwa na ushahdi wa kutosha ?
Na makundi yote yameanzishwa na Waislam na yanaendeshwa na Waislam.Wewe ndio utuambie ni makundi gani yameanza baada ya 2001. Pia hata kama yameanza baada ya 2001, haibadilishi maana ya kwamba hayo makundi yanafungamana kwa kiasi kikubwa na imani ya kiislam, hasa JIHAD.