instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Umeambiwa jinsi ya kuzuia. Wewe si ishaingia huwezi kuizuia tena. Lea hiyo hiyo ila ijayo usisaau.
Naomba unieleze kama ushawahi kujifungua au kutoa mimba siku za nyuma, maana unaweza kuona majivu yanakusaidia kumbe huwezo wa kuzaa huna.Habari zenu wana mmu....
Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....
Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...
Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......
Cc Bulldog
NANTUCHI natumai umenisoma kwenye comment no.67 hapo juu!
Yaani ukiweza jaza hata mfuko kozi ni mazuri na hayana madhara nmekua nikitumia kwa mwaka wa pili sasa na pia kuna jiran yangu mmoja alikua akipata sana mimba tokea nmemshaur yamemsaidia sana tena sanaa
Manchester United wangejua leo wangepiga glass 2 za juice ya majivu kila mchezaji kabla ya kuja darajani!!!!!!
Mkuu kwanza nikiri umenichekesha sana...sure, nimecheka sana na hii comment yako.
Back to topic: mimi nilichohitaji ni connection iliyopo. Kesi ya sindano ni tofauti kwa sababu inaingia moja kwa moja kwenye damu compared to majivu. Na kama issue ni kufanya mwili wa mwanamke uwe na acidity kubwa ili mimba isitunge, sasa ni kwa nini basi asinywe mwanamume one hour before ili mwili uwe high in acidity na sperm zisiwe na uwezo wa kufertilize ovum.?
Leo ndio nimefahamu kwanini somo la biolijia ni la LAZIMA kwa wanafunzi wa kidato cha I hadi IV,
Hayo mawazo yangekuwa bora kipindi kileee...mbuga zimejaa, watu wanalima wanavyotaka...msosi ni kukusanya mizizi na matunda umemaliza...kila baada ya hatua kumi unakutana na digidigi unawinda na kupata nyama...shule ni kwa ngariba na wafundali...taarifa mnaipata kwa mwenyekiti wa kijiji...that way yangekuwa mawazo mazuri..lakini kwa kipindi hiki ada ya nursery million mbili ndugu unawaongopea watu
Na let me tell you about Mwenyezi Mungu...Mungu ni Mungu wa planning, na alitupa akili vichwani ili tuzitumie kuboresha mazingira yetu na kuyafanya maisha yawe bearable
Sasa kama Mungu anakupa akili na unashindwa ku-plan..naamini swali utakaloulizwa kwa kuleta viumbe duniani ni kwa nini ukazalisha watoto waje kupata dhiki? Hukujua kama watahitaji all the necessities?
Ukijiachia kila bao likazalisha mtoto unadhani si tutagombania hewa hapa duniani? Its like anazaliwa mtoto then next month mama kitumbo hichoooo! Do you really think Mungu ndivyo anavyotaka?
Ni kweli Mungu akiamua mimba itaingia tu..hapo itakuwa kwa kadri ya plan zake na ndio maana nikakwambia Mungu ni Mungu wa planning. He plans everything beforehand...otherwise do your best and God will do the rest..finish
mungu ni mungu wa planning akikupangia uzae bila shaka atakupangia na cha kumlisha na kumvisha na kumsomesha hawezi kukupa tu watoto kwani yeye ndio alietuumba na ndie anaetupa sisi riziki kila kiumbe kina riziki yake ishapangwa na ana hekima yake kufanya wengine maskini wengine matajiri
Explain kwa nini familia nyingi zenye watoto lukuki ni masikini...Explain kwa nini idadi ya watu ikizidi mahali (overpopulation) hilo eneo linakuwa na maendeleo duni..Explain kwa nini familia zinazopanga uzazi wa mpango zinakuwa na watoto wenye afya na akili as compared to familia za "kipemba"? na lastly explain kwa nini jamii za watu wanaokumbatia habari ya "kila mtoto huja na riziki yake" ndo zilag behind kielimu, kiuchumi na kila kitu? usiniambie hazina Mungu!!!
Habari zenu wana mmu....
Habari za siku nyingi.........leo nataka nitoe ushauri kwa dada zangu au wadogo zangu, pia hata kwa kaka zangu kuhusu jinsi yakuweza kuzuia mimba kwakutumia njia ya asili tofauti na kama tujuavyo wengi wetu kwa sasa wamekua wakitumia njia kama vidonge vya kizuia mimba, sindano na vijiti ambapo njia hizo za za uzazi wa mpango zmekua na madhara makubwa kwa wanawake ikiwa na uke kua na maji na uvimbe tumboni.....
Njia yenyewe ya asili ni majivu....
Jinsi ya kutumia majivu ni unakoroga kijiko kimoja au viwili kwenye kikombe au grass sio lazima ijae maji unasubir baada ya dakika tano ndio unakunywa, na waweza kunywa majivu hayo lisaa limoja kabla ya tendo au baada ya tendo lakini yasizidi masaa sita baada ya tendo...
Ni njia nzuri sana na haina madhara pia ni njia ya asili....na ni njia ambayo hata mm nmekua nikiitumia na rafiki zangu pia ......
Cc Bulldog
ni njia natumia siku zote za maisha yangu!! alinifunza mamangu!
asante kuwaelimisha na wengine pia
Sweetheart hujanijibu hayo majivu lazima unywe kila siku ht km huja sex au unaweza kunywa tu pindi unapotaka kusex
akili yako ndio imeishilia hapo mbona wafalme na machifu wana watoto kibao na hawana njaa mimi ktk familia yetu tuko ishirini na hatuna njaa?hao uliowaona maskini ndo mungu ana hekima yake kwanini awafanye maskini wangapi wanatumia uzazi wa mpango na bdo ni njaa tu wanabadilisha mboga tu?tafakari kwanza