Mkuu kwanza nikiri umenichekesha sana...sure, nimecheka sana na hii comment yako.
Back to topic: mimi nilichohitaji ni connection iliyopo. Kesi ya sindano ni tofauti kwa sababu inaingia moja kwa moja kwenye damu compared to majivu. Na kama issue ni kufanya mwili wa mwanamke uwe na acidity kubwa ili mimba isitunge, sasa ni kwa nini basi asinywe mwanamume one hour before ili mwili uwe high in acidity na sperm zisiwe na uwezo wa kufertilize ovum.?
Haaa we mkuu na
Inkhubu mnajichekesha sana kwa maswali yenu bana, ila siwashangai sana pengine biology hamkusoma ndo maana.
Umeeleza vizuri kuwa sindano inaingia moja kwa moja kwenye damu. Sasa napenda ujue kuanzia leo kuwa CHO CHOTE UNACHOKULA AU KUNYWA kinaingia damuni vilevile, sema tu kitachelewa kuingia ukilinganisha na sindano lakini mwisho wa siku kitaingia vilevile.
Sperm sitakufa tu zikiwa kwenye external environment, vilevile yai la mwanamke litakufa tu likiwa kwenye external environment. Kwa mwanaume external environment ni sehemu yo yote nje ya korodani, yaani kule sperm zinakoenda akisha ejaculate, whether ni papuchini, tigoni, kichwani, ndani ya boxer ndotoni n.k kote huko ni external environment. So zikikutana na high acidity au alkalinity huko ndo zinakufa kabla ya kufanya fertilization. Ndani ya korodani kila kitu ni self-controlled, so haiwezekani kukawa na high acidity au alkalinity. Nadhani hapa sasa nimejibu swali kwanini mwanaume atakiwi kunywa hayo majibu, kwa maana nyingine hata akinywa hayatauua sperm so itakuwa ni kazi bure
Kwa mwanamke external environment ni pale yai linapoelekea baada ya ovulation, yaani likishatoka kwenye vile vifuko vyake (follicles), linaenda kwenye mfuko wa uzazi (uterus), follopian tubes etc kote huko ni external environment. Kwa hiyo nalo likifika huko likatutana na high acidity or alkalinity nalo litakufa vilevile kabla ya kuwa fertilized. Kama ilivyo kwenye korodani, kwenye follicles nako kila kitu kiko self-controlled, so huwezi kuua yai likiwa huko. Njia rahisi ya kuliua ni kusubiri litoke huko kwenye hifadhi yake.
Kwahiyo sasa mwanamke anapokunywa hayo majivu ana disturb externa environment ya yai lake, vile vile anadisturb external environment ya sperm kwa maana ya papuchini. Kuna kuwa na high acidity or high alkalinity (natumia conditions zote mbili coz sina uhakika ipi inapanga kwa kunywa majivu). So yai lake na sperm za mwanaume vitakaingia hilo eneo la mwanamke (external environment ambayo sasa ni too acidity/alkalinity) zitakufa before fertilization. Again nikiri kuwa sina uhakika kama zote zitakufa au ni sperm za mwanaume au yai la mwanamke tu ndo litakufa, sina uhakika, ila muhimu hapa ni kwamba fertilization will not occur.
Kama hujaelewa sasa, njoo nikupe tution maalumu, ila tanguliza M-pesa, tigopesa au airtelmoney kwanza ya laki 2 tu