Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Kuna mmea Flani unaitwa mnyonyo Mara nyingi majani yake yanatumika kujikandia/ kuchua kama umeumia sasa basi mbegu zake ni kinga ya mimba ila kuna namna ya kuzimeza

Tiririka vema ili tutafiti kwa faida ya jamii nzima
 
Nikionacho ndani ya huu uzi ni vibinti vidogo vikipeana michapo ya uongo na uzinzi kwa jina la kuzuia ujauzito...

Mkuu sie wengine wakubwa ila tumekuja huku tusikie kama kuna alternative ya pills, sindano etc maana zile hormones sio kila mwili wa mwanamke unaziweza. Ukute kalenda huwezi kutumia coz of irregular cycle, mbona siku mtu utakunywa hayo majivu?
 
wanikumbusha kuna siku nlikunywa panadol na maji mengiii baada ya kukosa asprin. Najua kuhusu maji mengi inasaidia kuzuia mimba ila panadol sikujua kama ilisaidia pia au vipi.

Duuih nazidi kupata maujuzi hapa
 
Hadi sasa umepata njia yoyote ya uhakika hapa?

Mkuu sie wengine wakubwa ila tumekuja huku tusikie kama kuna alternative ya pills, sindano etc maana zile hormones sio kila mwili wa mwanamke unaziweza. Ukute kalenda huwezi kutumia coz of irregular cycle, mbona siku mtu utakunywa hayo majivu?
 
Mkiwa wazazi mtajua tu,
Kuna mdada mmoja alipata uja uzito wenzake wakamdanganya aingize kijiti cha mhogo ndani mpaka aiguse nakuitoboa itatoka, dada wa watu akafanya hivyo......yaliyomkuta karibu apoteze uhai, madaktari ikabidi wamtoe kizazi hivyo huyo dada hatakaa aje apate mtoto tena. Hivyo wasichana msidanganyane kwani ni hatari sana.

Duuh mkuu umenifanya tumbo liniume ghafla
 
Kuna mmea Flani unaitwa mnyonyo Mara nyingi majani yake yanatumika kujikandia/ kuchua kama umeumia sasa basi mbegu zake ni kinga ya mimba ila kuna namna ya kuzimeza

Toa somo mkuu watoto hawataki kuwajibika na hatutaki waue au kutupa watoto chooni na jalalani.
 
haikuwa siku ya hatari, wasi wasi wenu tu ulikuwa.
ila sasa ukweli wewe ukinywa hayo majivu ndo inakata nguvu kabisa, unaongeza muda hata masaa mawili na utamu kolea hadi kisogoni. kunywa afu unipe feedback
Hahahaaa..... inawezekana sina hakika. Ila miaka ileeee ya kujifunza kugusa gusa papuchi alitumia mpenzi wangu wa huba. It worked. Kwa siku za hofu ya ujauzito tuu
 
Tatiana please naomba unifundishe njia ya kalenda kama hutojali mimi midawa naogopa,

My dear mi ninatumia app moja inaitwa Ladytimer ipo Google play store. Naona kwangu ipo more accurate kuliko apps zingine nilizojaribu. Hii itakuonyrsha lini uyapata period na ovulation days. Download it uijaribu
 
Back
Top Bottom