Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmea Flani unaitwa mnyonyo Mara nyingi majani yake yanatumika kujikandia/ kuchua kama umeumia sasa basi mbegu zake ni kinga ya mimba ila kuna namna ya kuzimeza
Nikionacho ndani ya huu uzi ni vibinti vidogo vikipeana michapo ya uongo na uzinzi kwa jina la kuzuia ujauzito...
Nikionacho ndani ya huu uzi ni vibinti vidogo vikipeana michapo ya uongo na uzinzi kwa jina la kuzuia ujauzito...
wanikumbusha kuna siku nlikunywa panadol na maji mengiii baada ya kukosa asprin. Najua kuhusu maji mengi inasaidia kuzuia mimba ila panadol sikujua kama ilisaidia pia au vipi.
Duuih nazidi kupata maujuzi hapa
Tunawataka sana
Kusanya maujuzi.aisee..manake
Unao wangapi weyee?
Mkuu sie wengine wakubwa ila tumekuja huku tusikie kama kuna alternative ya pills, sindano etc maana zile hormones sio kila mwili wa mwanamke unaziweza. Ukute kalenda huwezi kutumia coz of irregular cycle, mbona siku mtu utakunywa hayo majivu?
Mkiwa wazazi mtajua tu,
Kuna mdada mmoja alipata uja uzito wenzake wakamdanganya aingize kijiti cha mhogo ndani mpaka aiguse nakuitoboa itatoka, dada wa watu akafanya hivyo......yaliyomkuta karibu apoteze uhai, madaktari ikabidi wamtoe kizazi hivyo huyo dada hatakaa aje apate mtoto tena. Hivyo wasichana msidanganyane kwani ni hatari sana.
Hadi sasa umepata njia yoyote ya uhakika hapa?
Kuna mmea Flani unaitwa mnyonyo Mara nyingi majani yake yanatumika kujikandia/ kuchua kama umeumia sasa basi mbegu zake ni kinga ya mimba ila kuna namna ya kuzimeza
Unapenda hogo kubwa wewe kama siyo mshabiki wa ndom itakuwa unapenda sana msuguano
Hahahaaa..... inawezekana sina hakika. Ila miaka ileeee ya kujifunza kugusa gusa papuchi alitumia mpenzi wangu wa huba. It worked. Kwa siku za hofu ya ujauzito tuu
Tatiana please naomba unifundishe njia ya kalenda kama hutojali mimi midawa naogopa,