Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza


Huna lolote...hakuna demu wa dizaini hii hapa bongo........unazuga tu...huwa mnasikilizia tu ..ila hamuwwzi kataa ofa...
 
Hakuna dawa ya kuacha Pombe ila ninawafahamu watu kadhaa walioamua kuacha pombe kwa ridhaa yao wenyewe - bila shuruti wala kutumia dawa.

Kuna mmoja yeye siku ya siku alikunywa almost crate nzima ya Castle Lager wakiwa kwenye party flani ya shirika lao then akapanda 'high table'' alipokua amekaa CD wao na wageni kutoka HQ, akatishia kushusha mzigo pale mezani, huku zip kishaifungua. Jumatatu alikutana na ''summary dismissal for gross misconduct''. Hajagusa monde tena toka siku hiyo. Sasas sijui mnasubiri ''dawa'' kama hii iwakute?
 
Huna lolote...hakuna demu wa dizaini hii hapa bongo........unazuga tu...huwa mnasikilizia tu ..ila hamuwwzi kataa ofa...
We unachekesha kweli, alichokisema NAHUJA ni kweli, sio wanawake wote tunapenda offer, binafsi ukinitumia offer na sikujui naikataa...

Ni ile hali ushajizoesha kujinunulia na hutaki shobo na mtu!
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, Mwanamke yoyote nikimuona na tatoo huwa namfikiria ni malaya/kahaba sijui kwanini!!
 
Dawa ya kuacha pombe ni mlevi mwenyewe kuamua sasa pombe basi vinginevyo utakinga maji kwa gunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…