du! mmmh! sawaKamulia maziwa ya mama kwenye glass ya pombe afu kunywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
du! mmmh! sawaKamulia maziwa ya mama kwenye glass ya pombe afu kunywa
du! mmmh! sawa
Nakusabahi miss[emoji4]kwani akikununulia lazima uende nae chumbani?
haitekelezeki hiii!!!! hahahaTry this one down here, it is for smoking but I think it can serve on that end too.
View attachment 693056
AhahaaaTry this one down here, it is for smoking but I think it can serve on that end too.
View attachment 693056
haitekelezeki hiii!!!! hahaha
hahahahahah Don Clericuzio tehe tehe tehe tehe tehe hahahahaahahah, sawa ahsanteUnamwambia mwenza aweke funguo mbali, unafunguliwa muda wa msosi tu.
Wiki ikiisha umeacha kabisa.
Hiyo dawa ni komesha!!!Ahahaaa
Duh!! Ok poa bora aendelee nayo tu mkuu.Balimi ni pombe ya kiume, lakini tangia "vyuma vimekaza" wanawake tunakunywa hata mimi nakunywaga.
Balimi ni nzuri, tena asubuhi anamka fureshiiiiiiiiDuh!! Ok poa bora aendelee nayo tu mkuu.
Shost na nunua huwa sipokei vimisaada vya kipuuzi kama hivyo. Kama mwanamme akitaka kuninunulia basi "tununuliane". Hivi unajua wanaume siku hizi wapo wapo tu, anakununulia kibia kimoja huna hata mahusiano naye, then anaanza "hivi hii baa ina vyumba?" mfyuuuuuuu.
Nakunywa pesa yangu shost
Ow! Sipendi vichungu na vyeusi..sio nyeupe, sio tamu sana
Utakufa wewe...pig milk like serious?Du! haya nitafanya hivyo halafu nitaleta mrejesho!
Haaahaaaa...Balimi ni pombe ya kiume, lakini tangia "vyuma vimekaza" wanawake tunakunywa hata mimi nakunywaga.
We unachekesha kweli, alichokisema NAHUJA ni kweli, sio wanawake wote tunapenda offer, binafsi ukinitumia offer na sikujui naikataa...Huna lolote...hakuna demu wa dizaini hii hapa bongo........unazuga tu...huwa mnasikilizia tu ..ila hamuwwzi kataa ofa...
Upo vizuriNdio ni "mimi huyo"