Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Maji tena? Yanahusikaje?
Kuna mwanamke alikuwa anapigwa kila siku na mme wake, na kipigo haswa mpaka kwenda kujitibu majeraha hospital.

Dr akawa kila wakati anamtibu na mama kila wakati alikuwa anamwambia sababu yote ni pombe.

Mara ya tatu Dr akamwambia sintakupa dawa yoyote ila ukifika nyumbani andaa maji yaweke karibu yako.
Mme wako akigonga mlango tu piga fundo moja la maji na usimeze yawe mdomoni tu
Na kila wakati fanya hivyo kwa wiki moja halafu uje kuniona


Baada ya wiki alikwenda kumuona Dr akiwa mzima wa afya na hajapigwa wiki nzima
Alipouliza kulikoni sijapigwa wiki nzima
Dr akamwambia una mdomo mrefu na MAJI ndio tiba yako
Hapo vipi umeelewa HEKMA ya Dr?
 
Kidomodomo
 

Nimeelewa kwa ufasaha, asante
 
Mkuu, Ukiamua unaacha kitu chochote. Inabidi uamue/ kufanya mabadiliko mwenyewe, Ni uamuzi wako. Kitu kidogo na kirahisi sana. Lakini kwa watu wengine ni baada kupoteza kila kitu ndio wanafanya maamuzi.
 
Tafuta tongotongo za digidigi mchanganyie kwenye pombe.Nakuhakikishia kuwa kama akinywa hata choo alichotumia mtu aliyekunywa pombe hataweza kukitumia jinsi atakavyoichukia pombe.
 
Mnaweza kupiga mkaua. Murder case iyo. Maombi tuu, ataacha
 
Mshana jr jiandae kipondo cha haja ki karibu ..!!!
 
Du hli jambo ni srus xn lkn nona mjbu yliotolewa cjaambua ht 1 da! Km ypo anaejua jmn... Plz...
 
Tiba ya kwanza ni kujikana nafsi kwa kuacha baada ya kuona madahara ya kiafya na kiuchumi
Tiba ya pili ni kumfanya kuwa bussy mpaka muda wa kulala
Tiba ya tatu ni kuangalia hobbies zake kama ni mpenzi wa mpira, movie, miziki mwekee DSTV awe busy kufuatilia ligi na michezo zinazoendelea
Tiba ya nne ni kumweka mbali na company, marafiki,maswaiba ambao ni walevi, watamshawishi mpaka akanywe bure hata kama hana ela
Tiba ya tano, msafirisheni kwenda nje ya mkoa ambaka atakuwa mgeni na kukutana na sura geni
Tiba ya sita ni kuokoka kama ni mkristo, aache uovu na kumrudia Mungu
Tiba ya saba ni kumpa kwa undani madhara yanatokana na unywaji wa pombe kwa kumwonyesha kwa mifano ya watu, video, n.k
Tiba ya nane ni kumwombea kwa Mungu pamoja na kutekeleza yote ya hapo juu
 
Aisee..kumbe ni wengi hupitia haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…