Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Sawa tu kama hatak kubadilika lazima achezeee kipondoooKumpiga haikubaliki!! Ukithubutu kumpiga, Jiandae na wewe kupigwa na kizazi chako!!! (LAANA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu kama hatak kubadilika lazima achezeee kipondoooKumpiga haikubaliki!! Ukithubutu kumpiga, Jiandae na wewe kupigwa na kizazi chako!!! (LAANA)
Kwa nini umtetee mazaa zaidi ya dingi ?! Hao walipotoana wanajua wenyeweSiwez kukubali mazaa apigwee kila sku kwa starehe zake baba nampa tu kipondo hata laaana szan kama itanifikia maana nitakuwa nimefanya jambo jemaaa
Tiba kuu ya pombe NI kujitambua tuPoleni kwa miangaiko ya wiki na pilika za hapa na pale!
Naombeni msaada tiba ya kumwachisha mtu kunywa pombe.
Hili tatizo la ulevi analo Baba mzazi ambapo akilewa tu , Mama anakosa amani kwa sababu anakuwa anapigwa tu, pasipo na sababu za msingi .
Lakini asipo kunywa pombe anakuwa ni mtu mwenye busara tu. Hivi karibuni amekuwa akilewa mfululizo kiasi ambacho vurugu nyumbani haziishi.
Kwa hyo kutokana na hili tatizo linapelekea Mama kukosa amani pale nyumbani, mpaka ndugu wa mama wamekuja juu kutaka kumwondoa dada yao pale nyumbani!
Nilishasikia tiba ya kumwachisha mtu pombe ni kumchanyia mkojo wake mwenyewe kwenye pombe!
Hili bado sijalifanyia kazi kwa kukosa ushuhuda thabiti kwa watu waliojaribu au kutibiwa!
Naomba mwenye kufahamu tiba yeyote ile au mwenye ushuhuda kwa hiyo tiba ya kumwekea mkojo wake kwenye pombe! Atakuwa amenipatia mwangaza mzuri!
Jaribu uone!! Na hasa kama wewe ni wa kiumeSawa tu kama hatak kubadilika lazima achezeee kipondooo
Msomege bibilia jamani yaani hata mwanamke akihubiri injili nashangaa sana sijui wanatumia bibilia ipi kufanya hivyo.Sawa tu bhn kama laana ije tu
Uhuni huo.Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.
Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
Etiiiii? Baba yenu mmchangie kumpiga? Duhhh we kabila gani mkuuAisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.
Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
Hii kitu unawezajiwekea mwenyewe???Mkuu nimesoma thread yako nikajiuliza.
Baba yako kaanza pombe siku hizi? Au hiyo tabia ya kupiga kaanza lini? Yani kakulea mpaka umepata smart phone maza hajamkimbia iwaje ndugu waingilie kati sasa?
Kuna kitu unaficha chalii..
Anyway kuna dawa za kimasai unachanganya kwenye pombe akiinywa kila akigusa pombe ni kuharisha na kutapika mpaka atakosa hamu ya pombe...
Nawe umeshauriOmba mungu afukuzwe kazi maana ndo inampa jeuri
Daahh,mkuu nimecheka hatari..Mvunjie mayai matatu kwanza pale kwa fasi then muone reaction yake kesho yake tungi likiisha.
Hahah inaweza ikawasaidia kutatua tatizo mkuu wangu.Daahh,mkuu nimecheka hatari..
Akitoa accrual akaipigapiga chini ujue hiyo laana itakuandama wewe na vizazi vyako vyote..Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.
Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
duh,,, tea na soda!!!mbona simple sana mm mzee alikuwa ni mlevi kila siku tulikuwa lazima tupeleke watu kuwatibu maana alikuwa anatembeza kichapo huko baa mpo basi.
kwavile home alikuwa haletagi fujo tuliona sawa ila tukaja ona tunapoteza fedha nyingi Kwa kutibu watu.
tulichofanya tulitafuta maziwa ya nguruwe kidogo tuka mix kwenye mbege alafu tukampa alitaaapika yaani mpk leo ata akikaa karibu na pombe roho inachefuka zake ni soda na chai tu