Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Tambua ni watu wengi wahanga wa ulevi/unywaji wanaosumbuliwa na kuchukia hali hiyo,ila kuacha ni mtihani mkubwa sana...njia nyepesi kama hiyo haitatui tatizo.
Kuacha pombe sio kazi ngumu kama unavyoamini wewe.
Hao wahanga wa hizo pombe wakifata huo ushauri mdogo utawasaidia sana
 
Kunywa pombe si tatizo tatizo ni kunywa pombe kisha ukishalewa unaanza kuwa kero kwa wenzako
 
Unazingu aaaa wengine tmerudi muda si mrefu kutoka piga mtungi
Pombe tunakunywa na shu guli zetu tnafanya kama kawaida
We mleta uzi huu starehe yko ni ipi?

Ova
 
Mleta uzi utashtakiwa kwa uhujumu uchumi, unataka kupoteza mapato ya serikali
 
Pombe bwana!! Unaweza ukawa umekunywa sana jana pombe za kuchanganya hadi usiku ukashindwa kula. Basi asubuhi ukiamka unajisikia vibaya vibaya balaa hata supu iwe na malimao debe haipandi. Hapo utakula viapo vyote yaani mimi pombe basi tena, ila zikipita siku mbili tu tayari unajikuta unabia ya tano kichwani na umeshasahau kama juzi tu ulikua I.C.U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…