Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
kunywa ya nguruwe hakika utarudi hapa kunishukuru, madhara yake ni kwamba ukirudia tena kunywa pombe utatapika sana na inaweza kukuletea homaheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! wengine wanasema ya Punda, wengine ya kondooo
Hakuna dawa ni kuamua ktk nafsi,zaidi ya hapo kunywa ulewe hujitambu ktk maeneo ambayo hawakujui halafu anguka kitakachokutokea utaweza kuacha pombe bila kulazimishwa na kiumbe chochote dunianiWadau hivi kuna dawa ya kuacha hii kitu?!
Kwa hali hiyo wewe huwezi kuacha pombe.hahhhaha, ahsante Sky Eclat ushauri wako nimeuchukua kwa asilimia zote
Wengine wanachukulia ushauri serious utakuja kuua mtuChukua Flagyl vidonge vinne meza halafu kunywa safari lager kama tano hivi, hutaishi usikie hamu ya pombe tena.
UtapeliAnatumia virutubisho hivi viwili C24/7 na restolyf vipo katika mfumo wa vidonge akitumia hivi atakua anakosa hamu ya kunywa pombe na ataacha ulevi
Mawasiliano au whatsap 0767886627View attachment 939491View attachment 939493
Sasa huko ni kuacha au Mapumziko...!?Ni uamuzi tu mbona mimi naachaga nikiwa sina ela kuanzia tar.12 hadi 23 ya kila mwezi sinywi,kama siku11 kwa mwezi mara 12=132days sinywi sengerema light!
Mzee unantafutia life ban?!?!Fala ni Mlevi yeyote bwashee
Mzee unantafutia life ban?!?!