Pesa pesa pesa.Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikia ya kuacha, matumizi ya pombe! Hakika umefanya jambo la busara sana, pombe sio kitu kizuri at all.
Ila nikushauri tu: Kama kweli unataka kuto kurudi tena, kwenye hali ya matumizi ya pombe. Unatakiwa from now, uanze doz ya kunywa maziwa ya mtindi at least 1/2 per day. Unaweza ukawa unakunywa gras moja morning, then jioni unamalizia moja. Ukijijengea utamaduni huo, hakika utakuwa umeshaaga rasmi, matumizi ya pombe katika maisha yako!
Ila kwenye suala la punyeto, kijana unatakiwa ujikeep busy na shughuri za utafutaji wa ridhiki. Yaani make sure unkuwa busy kweli kweli, kiasi cha kwamba wewe ukifika home tu ile night.....basi nikuoga na kuungasha usingizi. Then tomorrow morning unakuwa ushadamka, unaanzisha harakati! From there hiko kitu kinachoitwa PUNYETO, utabaki kukisikia tu kwenye bomba!
All in all, napenda kukutakia kila la kheri....M/Mungu akufanyie wepesi, juu ya hiyo safari yako mpya.
You're welcome.
Asante kushukuru.Ushaur wako umenipa faraja,ahsante sana.
Matokeo ya unywaji wa maziwa mara kwa mara ni kuumwa tezi dume.Hongera kwa hatua nzuri uliyofikia ya kuacha, matumizi ya pombe! Hakika umefanya jambo la busara sana, pombe sio kitu kizuri at all.
Ila nikushauri tu: Kama kweli unataka kuto kurudi tena, kwenye hali ya matumizi ya pombe. Unatakiwa from now, uanze doz ya kunywa maziwa ya mtindi at least 1/2 per day. Unaweza ukawa unakunywa gras moja morning, then jioni unamalizia moja. Ukijijengea utamaduni huo, hakika utakuwa umeshaaga rasmi, matumizi ya pombe katika maisha yako!
Ila kwenye suala la punyeto, kijana unatakiwa ujikeep busy na shughuri za utafutaji wa ridhiki. Yaani make sure unkuwa busy kweli kweli, kiasi cha kwamba wewe ukifika home tu ile night.....basi nikuoga na kuungasha usingizi. Then tomorrow morning unakuwa ushadamka, unaanzisha harakati! From there hiko kitu kinachoitwa PUNYETO, utabaki kukisikia tu kwenye bomba!
All in all, napenda kukutakia kila la kheri....M/Mungu akufanyie wepesi, juu ya hiyo safari yako mpya.
You're welcome.
Week moja ina weekend moja tu,bado safari ni ndefuNimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Pole Sana Ila Kama unaweza ungeenda kwenye vituo vya ushauri yaani sober house. Wanasaidia Kama uko serious. Ni ugonjwa kwaiyo unaitaji mtaalam wakuweza kukupunguzia Hali ya kutamani pombe...pia epuka marafiki na maeneo yanayowezakukupa ushawishi wa kunywa. Pia nenda mwananyamala hospital wanakitengo Cha kutibu ulevi wa pombe madawa yakulevya na magonjwa ya akili.Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.
Samahani, mimi ni kijana wa umri wa miaka 29. Naomba msaada wa dawa au ushauri wa jinsi ya kuacha au kupunguza ulevi/unywaji wa pombe.
Kiukweli nimezama kweli kweli kwenye dimbwi la ulevi wa pombe yaani mpaka kuna baadhi ya mambo yangu hayaendi kabisa na kuna muda natumia pesa yangu yote kwenye ulevi.
Mbarikiwe sana.