Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kwa usawa huu wa mzee baba wengi wameacha pombe na kuokoka maana hakuna hela
Ila subiri itokee neema miaka ijayo aje rais mwenye unafuu kidogo kama mkwere utaona watu tutakavyokula tungi
 
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Pesa pesa pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kama mazuri eti "Nyeto"

Fanya hivi
1.Epuka kusoma au kuangalia habari zenye ushawishi na ngono.
2.kuwa bize na kazi,yaani ukiwa kazi fanya majukumu yako yanavyotakiwa ukirudi home usikae sana peke yako waweza fanya mazoezi na watu wengine au ukaenda mahala au kualika mtu home ili kusogeza muda.
3.Ukisikia genye haraka sana muite mwenza wako ili uwe fresh na kama hayupo basi muda wote usikae pekee yako katika mazingira ya kificho fanya mpango uchangamane na watu.

Onyo Nyeto inaongoza kwa kuharibu mahusiano maana inafika kipindi unakua huna hamu kabisa na mpenzi wako ukikutana nae ukipiga kimoja ndo basi.

Kila la kheri
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
 
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikia ya kuacha, matumizi ya pombe! Hakika umefanya jambo la busara sana, pombe sio kitu kizuri at all.

Ila nikushauri tu: Kama kweli unataka kuto kurudi tena, kwenye hali ya matumizi ya pombe. Unatakiwa from now, uanze doz ya kunywa maziwa ya mtindi at least 1/2 per day. Unaweza ukawa unakunywa gras moja morning, then jioni unamalizia moja. Ukijijengea utamaduni huo, hakika utakuwa umeshaaga rasmi, matumizi ya pombe katika maisha yako!

Ila kwenye suala la punyeto, kijana unatakiwa ujikeep busy na shughuri za utafutaji wa ridhiki. Yaani make sure unkuwa busy kweli kweli, kiasi cha kwamba wewe ukifika home tu ile night.....basi nikuoga na kuungasha usingizi. Then tomorrow morning unakuwa ushadamka, unaanzisha harakati! From there hiko kitu kinachoitwa PUNYETO, utabaki kukisikia tu kwenye bomba!

All in all, napenda kukutakia kila la kheri....M/Mungu akufanyie wepesi, juu ya hiyo safari yako mpya.

You're welcome.
 
Ushaur wako umenipa faraja,ahsante sana.

Ha ha!! Mkuu utu uzuri nao utakuja kukuchosha!.. Hilo la nyeto tafuta manzi ambae utakuwa na shauku nae yani ukitaka kupiga nyeto unaona kama unamkatili mtoto wa watu.. weka mbele shauku yako kwenye mwili wake ,muone yeye ndo anastahiri kukupumzisha kihisia, mkuu kiujumla kuwa na mhemko na watoto wa kike.
 
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikia ya kuacha, matumizi ya pombe! Hakika umefanya jambo la busara sana, pombe sio kitu kizuri at all.

Ila nikushauri tu: Kama kweli unataka kuto kurudi tena, kwenye hali ya matumizi ya pombe. Unatakiwa from now, uanze doz ya kunywa maziwa ya mtindi at least 1/2 per day. Unaweza ukawa unakunywa gras moja morning, then jioni unamalizia moja. Ukijijengea utamaduni huo, hakika utakuwa umeshaaga rasmi, matumizi ya pombe katika maisha yako!

Ila kwenye suala la punyeto, kijana unatakiwa ujikeep busy na shughuri za utafutaji wa ridhiki. Yaani make sure unkuwa busy kweli kweli, kiasi cha kwamba wewe ukifika home tu ile night.....basi nikuoga na kuungasha usingizi. Then tomorrow morning unakuwa ushadamka, unaanzisha harakati! From there hiko kitu kinachoitwa PUNYETO, utabaki kukisikia tu kwenye bomba!

All in all, napenda kukutakia kila la kheri....M/Mungu akufanyie wepesi, juu ya hiyo safari yako mpya.

You're welcome.
Matokeo ya unywaji wa maziwa mara kwa mara ni kuumwa tezi dume.
 
Hongera sana mkuu, umejitahidi sana. Kuacha pombe sio kitu kidogo. Hebu kanywe mbili kwanza kujipongeza mkuu.
 
Nimefanikiwa kuacha pombe kwa week 1 sasa! naomba maombi yenu na dua nisirudi tena huko sababu ni nusu ya jehanam! Pombe inamadhara makubwa sana kiafya,kijamii na hata kwa maendeleo binafsi.Nimedhamiria kua mtu mzur sana na wakuigwa ktk jamii.Limebaki swala moja tu ambalo bado linanisumbua sana,nyeto! Naomben njia za kuachana na hii kadhia mana nakaribia kufunga pingu za maisha.ahsanten
Week moja ina weekend moja tu,bado safari ni ndefu
 
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.

Samahani, mimi ni kijana wa umri wa miaka 29. Naomba msaada wa dawa au ushauri wa jinsi ya kuacha au kupunguza ulevi/unywaji wa pombe.

Kiukweli nimezama kweli kweli kwenye dimbwi la ulevi wa pombe yaani mpaka kuna baadhi ya mambo yangu hayaendi kabisa na kuna muda natumia pesa yangu yote kwenye ulevi.

Mbarikiwe sana.
 
Dawa ni kuacha ulevi.

Dawa ya pili acha ulevi.

Dawa ya tatu anza sasa kuvuta sigara.
 
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.

Samahani, mimi ni kijana wa umri wa miaka 29. Naomba msaada wa dawa au ushauri wa jinsi ya kuacha au kupunguza ulevi/unywaji wa pombe.

Kiukweli nimezama kweli kweli kwenye dimbwi la ulevi wa pombe yaani mpaka kuna baadhi ya mambo yangu hayaendi kabisa na kuna muda natumia pesa yangu yote kwenye ulevi.

Mbarikiwe sana.
Pole Sana Ila Kama unaweza ungeenda kwenye vituo vya ushauri yaani sober house. Wanasaidia Kama uko serious. Ni ugonjwa kwaiyo unaitaji mtaalam wakuweza kukupunguzia Hali ya kutamani pombe...pia epuka marafiki na maeneo yanayowezakukupa ushawishi wa kunywa. Pia nenda mwananyamala hospital wanakitengo Cha kutibu ulevi wa pombe madawa yakulevya na magonjwa ya akili.
 
KASEHUYE ukishajua tatizo utakua umelimaliza kwa 60% cha kufanya nenda kapate msaada wa kiroho kwa kiongozi wako wa dini ukamilishe hizo 40%
 
Back
Top Bottom