John Wanyika
Member
- Dec 9, 2019
- 59
- 291
Kubeti na sigara mbona easy tu... balaa ni punyeto..Bia mbona rahisi sana kuacha kitu kigumu kuacha ni sigara na betting!
Yaani hapa nilisema sinywi mpaka Xmass ... Lakini tuna mzinga wa tatu tupo wawili .... Ila kitimoto ni bonge la foundation..... Stamala kama yote
Ukiacha pombe utafanya nn? Au unataka kuwa malayaTungi ni utumwa kabisa, Natamani sana niache.
2020 siendi nayo kabisa.
[/COLOR]
Nimejitahidi mnoooo nakaa nje ya dimba hata miezi mi3 min4 nkirudi. Yaaani mpaka wana wanashangaa ... Kikubwa nna uwezo wa kujikana nkisema sili gambe kweli sili gambe ila nkirudi barabarani ni hatariii. Nnaweza kusema kweli malengo nayafikia lakini nkiyafikia tu nkifunguka ..nafunguka kweli. Nnachojishangaa ni inakuwaje nikiwa sina Kipato nnachopata natunza nafanya makubwa nikipata kipato heavy nnakiumua hatari
Teh [emoji16] [emoji16]Hii kitu mm ndio imenishinda kabisa kuicontrol licha ya kunipiga hasara za kutosha bado macho yakigongana uso kwa uso na counter na zile friji za campun udenda unanitoka balaa..
Kwa sasa nachoweza fanya nikutokunywa mda wa kazi au kwenda kupata kitimoto mda wa mchana maana nikishashiba ile kitu lazima nitafute kiyeyushio[emoji1787][emoji1787]
Vingine nmeshindwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na weweYaani wewe mimi kabisa uache pombe ili uwe mchawi sijui
Shunie pombe ni "unachwable" ona hata huyu mtumishi wa Mungu anatuliza kiu ya mnyama chuiView attachment 1302048
HaaahaaaPombe kuacha ni kazi sana mim nimejariibu Mara 20 zote nashindwa nimeamua kuipa certification sasa ni official my forever partner
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaaa...walevi mna mineno sanaa Sanaa[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiacha pombe utafanya nn? Au unataka kuwa malaya
Hai achiki. hahahahahahahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unachwable🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
nikinywa ndio nakua MalayaUkiacha pombe utafanya nn? Au unataka kuwa malaya