Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20191222_215525_2.jpg

Pambano linaendelea ...
 
[/COLOR]
Nimejitahidi mnoooo nakaa nje ya dimba hata miezi mi3 min4 nkirudi. Yaaani mpaka wana wanashangaa ... Kikubwa nna uwezo wa kujikana nkisema sili gambe kweli sili gambe ila nkirudi barabarani ni hatariii. Nnaweza kusema kweli malengo nayafikia lakini nkiyafikia tu nkifunguka ..nafunguka kweli. Nnachojishangaa ni inakuwaje nikiwa sina Kipato nnachopata natunza nafanya makubwa nikipata kipato heavy nnakiumua hatari
 
Hii kitu mm ndio imenishinda kabisa kuicontrol licha ya kunipiga hasara za kutosha bado macho yakigongana uso kwa uso na counter na zile friji za campun udenda unanitoka balaa..

Kwa sasa nachoweza fanya nikutokunywa mda wa kazi au kwenda kupata kitimoto mda wa mchana maana nikishashiba ile kitu lazima nitafute kiyeyushio[emoji1787][emoji1787]

Vingine nmeshindwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh [emoji16] [emoji16]

Jipe raha mwenyewe mwaya, we live once

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom