Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
mimi ni kijana na hakika ninahamu ya kuacha ulevi kabisa maana inanikera na kunimalizia hela sana...nahitaji msaada wenu niweze kuondokana na huu ulevi.asante
Tatizo la mtu asiye jua pesa yeye anaona hata pesa ya kunulia bear sio pesa....Kawaulize wale ambao wako katika market share wata kusaidia...Matatizo we si mtu wa biashara na hutakujua kujua thamani ya pesa hata siku moja, ndo mana hata kikopo cha bear unakiona hakijachukua pesa yako....FYI kuna watu hata kama ni matajri vipi hakupi hata siku moja pesa ya kikopo cha bear, sababu anajua wazi kunasiku atazitumia in order to balance the budget katika baishara zake :biggrin:aliekuambia hela ya bia unaweza kununulia kiwanja nani?labda kiwe kinauza elfu hamsini wewe toa ushauri ulioombwa na sio kuanza kutoa assumptions zisizokua na maana
92Sasa DR tunashauliwa kunywa glass ngapi za wine kwa siku
?
wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?
Tumia muda mrefu JF.