Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
mimi ni kijana na hakika ninahamu ya kuacha ulevi kabisa maana inanikera na kunimalizia hela sana...nahitaji msaada wenu niweze kuondokana na huu ulevi.asante
Pole sana kijana kama kweli umedhamiria kuacha pombe na hali uliyokuwa nayo sasa hivi ni mbaya fuata hii link hapo chini.
Lady Jay Dee: REHAB YA UTEJA WA POMBE NA DRUGS - JIJINI DAR ES SALAAM