Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

aliekuambia hela ya bia unaweza kununulia kiwanja nani?labda kiwe kinauza elfu hamsini wewe toa ushauri ulioombwa na sio kuanza kutoa assumptions zisizokua na maana
Tatizo la mtu asiye jua pesa yeye anaona hata pesa ya kunulia bear sio pesa....Kawaulize wale ambao wako katika market share wata kusaidia...Matatizo we si mtu wa biashara na hutakujua kujua thamani ya pesa hata siku moja, ndo mana hata kikopo cha bear unakiona hakijachukua pesa yako....FYI kuna watu hata kama ni matajri vipi hakupi hata siku moja pesa ya kikopo cha bear, sababu anajua wazi kunasiku atazitumia in order to balance the budget katika baishara zake :biggrin:
 
Halafu umuachie nani? weka heshima Bar uzikwe vizuri bana
 
rahisi kamaa unafanya kazii,fukuzwaaaaaaaaaa kaziii au achaa kazi utaacha tu
 
wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?
 
Unataka kuaccha pombe uwe mchawi au? Karibu serengeti buddy......
 
wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?

Unataka kuacha pombe? Acha! Simama tu, tupa stock yoyote ilio ndani, na uache kunywa. Ikibidi waambie ndugu na marafiki kua umeacha na utapenda wasikushawishi. But it has to start from within. Usiseme nataka kuacha pombe huku ukiendelea kunywa na ukitegemea msaada nje yako mwenyewe. Just say: Nimeacha Pombe! and live accordingly!
 
Fix ratiba mpya inayoreplace muda unaoutumia kunywa pombe... Mfano, kusoma vitabu vya dini, kwenda mazoezini, kuwa karibu na familia nk. Vinginevyo kuacha tu na kubaki idle, utafanikiwa kwa kipindi kifupi
 
uKijua kinachokusukuma kunywa pombe basi utaiacha. Nakushahuri utumie busara yako na kuacha
na kama ukishindwa basi nenda uombe ufungwe miaka 5 segerea iwapo uko adicted na ukirudi utakuwa umepona na kusahau pombe!
 
pole kama umekuwa adicted. wazo lako la kuacha pombe ni jema. mimi nilikuwa nakunywa pia, niliacha miaka zaidi ya kumi imepita sasa. uwe na uamuzi wako mwenyewe, usitegemee kushawishiwa na mtu, jiwekee mikakati ya kuacha kunywa, kwa mfano unaweza kujipangia usiguse pombe wiki nzima, ukifaninikwa oneza ya pili,.......mwisho utakuta unapenda zaidi maji kuliko pombe
 
Njia rahisi ya kuacha pombe ni kujitenga na marafiki walevi pili kama una familia jiweke karibu nayo kuliko mwanzoni mweleze mkeo nataka kuacha pombe atakupa ushirikiano wa kutosha kwani huwa wanakereka sana tunavyorudi usiku wa manane.Ila kubali kukashfiwa na marafiki kuwa mke kakutawala utakapojitenga nao(kama upo pembezoni ya mji anzisha ufugaji hata wa kuku mifugo itakuweka busy mda wa jioni na hutapata mda wa kupanda kwenye stuli ndefu.
 
Je waweza kaa siku nzima bila kunywa?
Week moja je?

Kama unaweza kutokunywa pombe wakati una course ya dawa then waweza acha kabisa if u r real determined!

Nina 8 month bila kunywa baada ya kunywa kwa 15 yrs.
 
wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?

Silimu uwe Mwislamu kwani dini hii ndio dini pekee imeonesha uwezo mkubwa wa kumuelimisha mtu aachane na maovu na kufanikiwa. Nadhani unakumbuka tatizo la ushoga linavyozisumbua nchi za Ulaya. Tayari nchi tano za Ulaya zimeidhinisha ushoga na Ufaransa inaandaa mswada wa kuidhinisha ndoa hizo za jinsia moja.
Lakini Uislamu unasema bayana Mwanaume akumwingilia mwanaume mwingine hukumu yake ni kifo. Na pombe ni haramu si kunywa tu bali hata kumwonesha mtu pombe zinauzwa wapi?
 
wana jf mnisaidie kwa hili kwa anayefahamu dawa ya kuacha kunywa pombe aina yoyote,nimeanza kunywa pombe tangu nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi mwaka 1996 mpaka sasa,nimejaribu sana kuacha lakini imeshindikana,je kuna dawa maalumu?

We vipi, kwa hili sikushauri kabisa. Unataka uache kunywa pombe??????????. Nasema hapana kwa sababu utapunguza MAPATO YA NCHI. Umesahau nchi hii inaendeshwa na kodi za pombe!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom