FWATA HIZI NJIA ZILINSAIDIA KUACHA KUVUTA SIGARA NA KUPUNGUZA ULEVI
Mpaka leo nakunywa nikijisikia na huwa mara moja kwa mwezi
1. Anza kufanya mazoezi ya kukimbia hasa mida ya jioni na nenda dambe (gym) au piga push up pale unaposikia kiu ya sigala au pombe.
2. Badilisha kampani yako(marafiki) badala ya kukaa na walevi nenda kapige stori na wakristo au watu wengine wasiovuta wala kunywa.
3. Tafuta altenative recreative style(namna nyingine ya kujifurahisha) mfano ule mda uliokuwa unaenda bar kunywa sasa nenda uwanjani kaangalie mechi au kapashe mwenyewe uwanjani utawakuta wenzako wanafanya mazoezi.
4.Ukitoka ground tafuta muvi nzuri tulia kideoni, sikiliza mziki, au fuatilia program nyingine kwenye tv show, kama una smart phone ingia wassap chart na watu. hii ni kwa ajili ya kuikeep busy akili yako.
5. Ukishindwa haya nenda kwa wataalam wa jadi wanazo dawa za kutuliza mukali yako.
6. Okoka nenda church ukaombewe
7. Baada ya hapo njoo whassap 0765022978 unishukuru.