Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma.
Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake.
Baadhi ya majibu kutoka kwa wadau
===============
wadau nilikia naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia niache bia manake nimekua addicted sana siwez lala bila kugonga hata bia nne naona kama zinanimalizia hela! please guys i am serious
huu ni upotoshaji, asilimia kubwa ya ulevi ni wakurithi. hamna majini wala uchawi. ila kuokoka kunasaidia kupata kampani nzuri.Nikushauri juu ya ulevi iko hivi wakati mwingine si hali ya kawaida unaweza fikiri ni kunywa tu kumbe umetupiwa kitu na watu wabaya usikumbuke maendeleo bali ulevi tu,pepo la ulevi sasa kulitoa hili linahitaji maombezi nakushauri uje sabasaba maonyesho dar ndani ya viwanja vya sabasaba jumatano hadi jumamosi ni maombezi kwa watuwote saa kumi kamili yanaanza bure kabisa kanisa la eagt kwa mchungaji katunzi ukiuliza watuwengi wanapajua nimeona wengi kwa machoyangu wakiacha ulevi baada ya maombi hakika Munguyupo pale atakusaidia kumbuka kwa mchungaji KATUNZI.
uko wapi nikuuzie ktabu kinaweza kukusaidia.
hakipo mkuu.hiko kitabu hakipo mtandaoni nina bro mlevi nia ya kuacha anayosema anashindwa.
hakipo mkuu.
sijakisambaza, mi niko songea. kinauza buku 4. kinaitwa ukweli kuhusu pombe. nakutumia kwenye basi. kwenye basi mpaka dar ni ka 3,000. kwa hiyo ukinitumia 75,00 kwa m-pesa nakutumia. huu uzi nao unaweza kukusaidia.kinaitwaje mkuu nikitafute.
Tahadhari, sitaki mnipe mbinu za kuacha kunywa Pombe kwani mbinu nyingi nimeshajaribu nikashindwa(unless uwe na experience kubwa sana na mbinu/ushauri huo).Mie nataka dawa (hususan ya Jadi,au yaKichina kama unaijua).
Naomba nisiwachoshe kwa historia yangu ya unywaji wa Pombe. Basically, hainidhuru Morally. Ila, shida nikwamba, naingiliwa sana kunako Pochi(Mfukoni).
Zaid ya hayo, i just wanna be free from drinking.
MSAADA TAFADHARI.
mshana jr , MziziMkavu , na wanajukwaa wengine. Nawaombeni msaada huo.
ASANTENI.
Tahadhari, sitaki mnipe mbinu za kuacha kunywa Pombe kwani mbinu nyingi nimeshajaribu nikashindwa(unless uwe na experience kubwa sana na mbinu/ushauri huo).Mie nataka dawa (hususan ya Jadi,au yaKichina kama unaijua).
Naomba nisiwachoshe kwa historia yangu ya unywaji wa Pombe. Basically, hainidhuru Morally. Ila, shida nikwamba, naingiliwa sana kunako Pochi(Mfukoni).
Zaid ya hayo, i just wanna be free from drinking.
MSAADA TAFADHARI.
mshana jr , MziziMkavu , na wanajukwaa wengine. Nawaombeni msaada huo.
ASANTENI.
Nakupa dawa inachekesha na unaweza kuona ni utani lakini kaijaribu halafu uyaniambia
Fanya uwezavyo upate kunguni wakubwa watatu,wachome/wakaushe kisha wasage separately na kila mmoja unga wake uweke kwenye kifuko cha nylon,nenda kaagize kilevi chako mwaga kwenye chupa/glass piga yote, rudia hiyo dozi mara tatu kisha njoo uniambie
Hii ni tiba nzuri hata kwa wavuta sigara bangi na unga
Suala ni kwamba hiyo dawa haichekeshi ila jinsi ya kumpata huyo kunguni hapa mjini ni sawa na kuniambia nilete kuku wa blue
sijakisambaza, mi niko songea. kinauza buku 4. kinaitwa ukweli kuhusu pombe. nakutumia kwenye basi. kwenye basi mpaka dar ni ka 3,000. kwa hiyo ukinitumia 75,00 kwa m-pesa nakutumia. huu uzi nao unaweza kukusaidia.
[h=3]Niulize chochote kuhusu pombe[/h]
nimekiandika mi mwenyyewe, nimesomea madawa.nani kaandika?