Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza


Mtoa mada kwanini unatumia hiyo nembo kwenye Avatar yako?
 
Mkuu Divai ni sababu tosha ya kwamba MUNGU anatupenda na anataka kutuona tukifurahi

raha ya pombe ni kwamba inakupeleka mahali ambapo chochote hakiwezi kukufikisha
kuna tofauti kati ya divai na mvinyo kwanza?
 
boarding nilikunywa mbege nkatapika choo kzma harufu mpaka bwen zma lilijua nimelewa...
 
NAKUMBUKA Ni Mpenzi Wangu, Ambaye Amekuja Kuwa Mke Wangu Hadi Leo! Ndiye Aliyenishawishi Kuacha Gambe!!
 
NAKUMBUKA Ni Mpenzi Wangu, Ambaye Amekuja Kuwa Mke Wangu Hadi Leo! Ndiye Aliyenishawishi Kuacha Gambe!!
Wazee!
Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe! Akitendacho MTU ni nafsi humtuma kuna nafsi mbili katika mwanadamu ya wema na uchafu.
Hivyo ikifikia nafsi kukutuma uache kitu sio lazima uwe umekutana na jambo nasema hivyo sababu nimeona wengi tu wanajikata katika ushabiki huo bila kuambiwa na MTU au adha yoyote.
Nafsi unaweza mtuma MTU akinywa atamani agegedwe tumewaona!
 
lakini wanakua hawaachi bila sababu,lazima kutakua na sababu nyuma hata kama ni ndogo vipi
 
Sio Kweli, Kutenda Jambo Jema Au Ovu, Ni Ushawishi Na Msukumo Toka Nje!!! Hivi Wataka Kutuambia Hapa, Eti MTU Ambaye Hajawahi Kuonja Na Wala Hajui Radha Ya Pombe Na Hana RAFIKI /MARAFIKI Wake Wa Karibu Wawe Wa Kike / Kiume, Ambao Wao Ni Wazoefu Ktk. Mambo Hayo!!!! YEYE Binafsi Anaanza Vp Kwenda Bar Na Kuagiza Pombe Na Kuanza Kunywa!?? Bila Ya Kuwa Na Kampani Ya KUMSHAWISHI!!! VIVYO Hivyo Ataanza KUSHIRIKI Ktk. Kutenda Yalio Mema, Wkt Watu Walio Karibu Yake Woote, Wapiga Gambe, Msuba, Ngada, Wazinzi N.k!!!!!??? HIVYO Ni Wazi Kuwa" IBILISI WA MTU NI MTU "WALA Halina UBISHI!!! UKIWA Ndani Ya Kundi La Marafiki Mwema, Basi Utashawishika Kuiga Mema Na Kwa Wale Wa Watenda Maovu, Kadhalika Utaiga Yale Watendayo!!!
 
More than 20 years nakula monde na sijawahi kufikiri kutengana nalo halijawahi nipa balaa na sitaki hata kusikia dawa ya kuacha nisije nikajaribu bure acha niendelee kulipa kodi ili lami na dawa hosp zipatikane.
 
More than 20 years nakula monde na sijawahi kufikiri kutengana nalo halijawahi nipa balaa na sitaki hata kusikia dawa ya kuacha nisije nikajaribu bure acha niendelee kulipa kodi ili lami na dawa hosp zipatikane.
bora yako ww sisi imetukataa
 
Wazoefu wanasema kama unania ya kuacha pombe basi wewe amua kuacha tu wala usisubiri mpaka ukumbwe na matukio, Matukio ya ulevi mengine yanakuwa mabaya sana.
Kunakipindi flani kisosora Tanga kulikuwa kunajamaa anakunywa mpaka analewa chakariii,
Sasa bwana sikunahiyo alikuwa ametoka zake kulewa mida ya night kali akawa anarudi zake hom, inasemekana alipokuwa njiani pombe zilimzidi nguvu akajikuta anaangusha gari(kulala) njiani.
Basi unaambiwa wakatokea watoto wa kitaa wakamfi.r.a.. na kumuacha uch.i mpaka asubuhi.
Yule jamaa alihama mtaa na inavosemekana mpaka hivisasa Halewi tena.
 
hahahaha duuu bonge la aibu
 
Kuna msela kitaani kwetu naye alipigwa miti na wahuni baada ya kukolea ulabu lakini cha ajabu mpaka leo bado yupo kitaa hana noma wala nini...anadai hao wahuni wamef.i.ra pombe na sio yeye!.
 
Pombe mimi nakunya nikitaka, nisipotaka sinywi.

Naweza kunywa kila siku mwenzi ukaisha au miezi 2, ila ninaweza pia kukaa mwezi au miezi 2 bila kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…