Eliminate,
Ukishindwa kabisa...
Reduce.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tulimpoteza rafiki kwa hii maneno ya kukata mji ya kutosha na kisha akachanganya na kunusa ugoro, mara jamaa akashuka na kuketi kama alie pumzika.
Kumbe ndipo roho ilikua ikigana na mwili
Sasa ukikata kilevi si utakuwa umeingia hasara....!!Jokes aside, wanasema ndizi mbivu ni dawa ya hangover. Sijui Kama unaongelea hangover ama kukata kilevi uanze upya.
Sasa ukikata kilevi si utakuwa umeingia hasara....!!
Ukifikia climax nusa ugoro kidogo kilevi chote kitakata
Redbul huwa inakata kilevi kwa asilimia fulani....but usinywe zaid ya mbili. Mimi nime prove hiyo kitu na huwa inanisaidia.
kama chura moja libovu, lipe mijeredi ya kotosha then utakaa poa
tapika ... anza na mojaSalamu wakuu,
Katika mihangaiko yangu ya wiki au siku huwa napita seemu zetu kupata moja moto moja baridi,kunawakati hua najipanga kabisa ngoja leo nikapige za kutosha, lakini hua nikishapiga kadhaa,system ikifika equilibrum nakua siwezi ongeza tena,nikiongeza hata moja tu inakua ni kupoteza memory.
Kwa wazoefu wa ivi vitu,naomba kujua ni vitu gani hua vinasaidia kupunguza pombe kichwani na kukufanya urudi kua active ili uendeleze mtanange? Najua leo ni weekend hii mada itawagusa sana watu.
Nawasilisha
kunywa maji kila baada ya beer 3, usije ukajaribu kuchanganya redbull na pombe mkuu utakua unatafuta umauti, redbull na pombe ni mafuta na maji.
Redbull ni stimulant na wakat pombe ni depressant. Unaweza ukanywa nyingi zaidi ya uwezo wako na ukashindwa kutambua kwasbb redbull itakufanya ujione upo active while in reality umelewa to the point blood inaweza kuwa poisoned na pombe iliyozidi.

Ha ha haThupu ya chura nayo si haba yaani unarestart kabisa ..unakuwa brand new used lakini
Sehemu kubwa Magufuli kapunguza sana.