Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

 
Acha watu wanywe pombee...wewe kama hunywii tuliaa. Umasikini wa nchi hii umeletwa na mafisadi, mikataba mibovu, ubinafsi wa viongozi, rushwa nk...na utakuta hao wanaofanya hayo wala hawaonji pombe. Yaan kwa ajili ya Kitwanga pombe ndo imeonekana kitu kibaya sana. Acha kukurupuka. Tuna matatizo mengi nchi hii badala ya kuyaongelea kwa kina watu km mleta mada wanaya dilute kwa kujenga hoja km hizi. HIVI SAKATA LA LUGUMI LIMEFIKIA WAPI?? .....save water drink beer....
 

Unatumia kitwanga? naona unakuja na kasi ya kitwanga kujibu swali mjengoni
 
Aisee kama unataka tusahau issue ya lugumi kwa kisingizio cha pombe....!!!!
 
Unatumia kitwanga? naona unakuja na kasi ya kitwanga kujibu swali mjengoni
Hahahaaa....tunataka mkataba wa lugumi kwanza ndo tutaenda sawa... Madhara ya pombe yako wazi kiafya kijamii na kiuchumi na elimu inatolewa tangu mashulen, kwa waumini, taasisi mbalimbali na hata kupewa adhabu kwa kuvunja sheria mbalimbali . Labda useme wewe una NGO ambayo unaipigia debe. Onyo kwenye chupa na mabango ya matangazo na maonyo mengi tu...kama kuendesha ukiwa umelewa utasema hujapewa elimu kuwa don't drink and drive??? TINGIIISHAA KAMA IMEISHAAAA
 

" lugumi atagombea ubunge au uraisi na mtampa kura" by Mzee Mwanakijiji
anyway jitihada ziongezwe yawezekana haujui kuwa ulevi ni ugonjwa na unaadhiri vp jamii hali kadharika uchumi.
Wangapi wameshindwa kujizuia kuacha pombe,wanachanganyikiwa kwa pombe hata kuvua nguo mbele ya watoto wao.Kwa kifupi mrevi ni temporaly chizi ambaye abaweza kupoza utu wake kwa dakika tu mfano kitwanga.
unaonekana unapiga sana ulabu.Sawa na Afande sele kutetea bangi
 
Bora mimi Mungu aliniepusha na hili balaa shida yangu mimi hamu ya pumpunchi aisei haiishi ata kidogo...!
 
JE, WAJUA....?!

Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.

Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh. 2500/= na tofali 1 la inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi Tsh.1300/=.

Kama unakunywa wastani wa bia 5 kwa siku (kipimo cha kawaida) maana yake unakunywa bia 1,825 kwa mwaka sawa na tofali 3,650.

Tofali 3,650 zinatosha kujenga nyumba 1 ya room 3 self contained ya kisasa. Hii inamaanisha kuwa kama wewe ni mnywaji basi kila mwaka unakunywa angalau nyumba 1 au 2.

Sasa hebu jiulize tangu umeanza bia hadi leo umeshakunywa nyumba ngapi?
Hesabu nyingine utadadavua mwenyewe kulingana na unywaji wako na aina ya pombe unayokunywa.
 
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
 
Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha

Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
 
Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
daah aisee,kweli duniani wawili wawili,na mimi nina tatizo kama lako!! em njoo hapa mikasa pub riverside tujadili namna ya kujinasua
 
Mimi mwenywe napiga kiroba mbaya nataka niache lakini wap! nishakunywa hadi maziwa ya kitimoto lakn bado hapa nlipo nshapiga viroba jogoo kaa sita hivi
 
Duh inshu hapo ipo kwenye uamuzi,kwanza amua mwenyewe kuacha ukiona unaelekea kufuata uamuzi wako sasa hapo ndio utafute dawa ya kuondoa hizo sumu mwilini ili kuepuka hiyo hali kujirudia.Mfano:mimi nilikuwa chapombe yaaani addicted siku moja nikaamua tu kuanzia leo sitaki pombe lakini ilifikia kipindi nnatamani kui rudia kabisa maana ipo kwenye damu na kichwa hakiishi kugonga baadae nikapewa vidonge nikatumia mwezi mmoja mpaka sasa sitaki kuisikia wala sikai karibu na mlevi yaani ukilewa siongei nawew kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…