Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

AHSANTE KWA USHAURI MPWA.
 
Dawa ya kuacha kunywa pombe mtafute mama anyonyeshae maziwa mtoto akutilie kidogo maziwa yake kwenye pombe yako bila ya wewe kujuwa ukinywa tu hiyo pombe utaacha kunywa tena maishani mwako jaribu kisha uje unipe feedback.
Nitaifanyia kazi mkuu nakuleta mrejesho.
 
Fanya hivi.Tafuta dawa inaitwa disulfiram uwe unatembea nayo mfukoni,ukitaka tungi unachanganya na glass moja ya bia,i promise you utaacha

Alternatively you can use metronidazole tabs[emoji23][emoji23]
Mimi nataka kuacha sigara nifanyeje?
 
Kwenu wana jamvi nimejaribu kuacha tungi nimeshindwa hivyo nimekuja kwenu ninyi kama kuna mtu anafahamu chakufanya tafadhali anisaidie nimeshindwa kuacha kabisa<hapa nilipo natamani kwenda kugonga moko!
JITATUTIE MARAFIKI WAPYA WASIOKUNYWA EPUKA MARAFIKI WALEVI
 
mvizie akiwa amelewa then chukua pombe kidogo uchanganye na maziwa ya kondoo mpe anywe atatapika sana lakini hata kufa wala kupoteza nguvu, kuanzia siku hiyo hatataka hata kuiona pombe!

Hayana madhara? Maana naogopa isije ikawa na madhara mkuu!
 
Maziiwa ya kondoo. ... Mbona imekaa kiugagula gagula. Yanatakiwa fresh au mtindi?
 
Ah ah ah ah
Hv kweli maziwa ya kondoo n dawa wakuu ..pombe tamu tamu sanaa
Hazichiki wakuu hz
 
  • Dah..hataree sana.. Juzi kati tumemuwekea jamaa yetu haya maziwa, cha ajabu ndiyo kaongeza unywaji na anang'ang'ania atiliwe tena hayo maziwa kwani yanaongeza stim πŸ™‚
Ah ah ah ah huyo ndio shujaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…