Kwanini uliacha pombe Gorilla Zoo ?Habari wakuu..
nimefanikiwa kuacha pombe hapa karibuni lakini nimekua na tatizo la kutopata usingizi toka nilipoacha naombeni msaada nifanye nini kuondokana na hali hii
ameamua kabisa mkuu vyote Lusekelo na Kitwanga kwa pamoja.Kaka ndo umeamua kuacha lusekelo kabisa
Ha haaa hapana kuna vyanzo vingine vya mapato boss hata tuache wote mambo yatakwendNakuambia nchi itasimama, walevi tunaisaidia sana nchi iende, na ndo maana tunalindwa sana na sheria tukiwa bar... Njoo kwenye mazingira yangu ya bar nikupasue kichwa uone kama nitashitakiwa....
Ni pm. MKUU hicho kitabu if possi leHongera mkuu kwa uamuzi wa thamani maishani.
Zaidi ya kufanya mazoezi, Jijengee utamaduni wa kusoma kitabu cha dini au chochote cha kujenga kabla ya kulala usingizi utakuja ukija usiuzuie uzime taa na simu ulale.
Vitu vinavyoondoa usingizi.
1:Chumba chenye mwanga. Hakikisha kuna giza la kutosha ili Homorne ya usingizi (Melatonin) itolewe ya kutosha maana ni inaathiliwa na mwanga. Hii inaenda mbali hadi kulala na simu, smartphone ule mwanga unaathiri usingizi.
Kuna kitabu naweza kukuPM ukipenda kinaelezea Historia ya Usingizi na mambo yote kuhusu usingizi.
Na mm nipiem hicho kitabu bossHongera mkuu kwa uamuzi wa thamani maishani.
Zaidi ya kufanya mazoezi, Jijengee utamaduni wa kusoma kitabu cha dini au chochote cha kujenga kabla ya kulala usingizi utakuja ukija usiuzuie uzime taa na simu ulale.
Vitu vinavyoondoa usingizi.
1:Chumba chenye mwanga. Hakikisha kuna giza la kutosha ili Homorne ya usingizi (Melatonin) itolewe ya kutosha maana ni inaathiliwa na mwanga. Hii inaenda mbali hadi kulala na simu, smartphone ule mwanga unaathiri usingizi.
Kuna kitabu naweza kukuPM ukipenda kinaelezea Historia ya Usingizi na mambo yote kuhusu usingizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ndo umeamua kuacha lusekelo kabisa
Hii weight issue imekuwa resolved automatically, tangia uhakiki wa vyeti uanze vitambi vilipungua, kufutwa kwa seminar nako vinazidi kuyeyuka sasa bia ni because tu watu wanatafuta.duh magu nomaa...hadi desemba bar zitafungwa mana siku hizi watu hunywa home tuu tena k vant kwa kusingizio cha kuondoa weight.
Habari wakuu..
nimefanikiwa kuacha pombe hapa karibuni lakini nimekua na tatizo la kutopata usingizi toka nilipoacha naombeni msaada nifanye nini kuondokana na hali hii
Hapa nilipo sasa hivi napiga windhock 2500/= TshBoondocks wapi huko windhock inauzwa bei hiyo wakati samki samaki ni 5,500. Fish Market ni 5,500 na papichulo ni 3,000. four ways 3,000. Sai sai ni 4,000, Shhoters ni 6,000 Jakis 3,000 Didis ni 3,000 Trinity 5,000
...teh hee hee..,kuna post umedai ulipokuwa na 50,000 ulikuwa unaogopa kuingia bar,Boondocks wapi huko windhock inauzwa bei hiyo wakati samki samaki ni 5,500. Fish Market ni 5,500 na papichulo ni 3,000. four ways 3,000. Sai sai ni 4,000, Shhoters ni 6,000 Jakis 3,000 Didis ni 3,000 Trinity 5,000