Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Amua na tafuta kampani nyingine itakayo kufanya uwe bize baada ya kazi! Mfano; kwenda viwanja vya michezo,gym au penda kutembea tembea na watoto kama unatoka kazini mapema!
 
Pole sana Mpwa lakini pia asante kwa kusaidia kuchangia pato la taifa, ila kama sasa mchango wako kwa taifa umegeuka kuwa tatizo basi waone washauri! uwe na amani!
 
1. Fanya mazoezi kuufanya mwili wako uchoke sana,
2. Fanya kazi kwa bidii sana
3. Jaribu kukaa mbali na marafiki ambao huwa wanakushawishi unywe pombe
4. Time table yako ya siku ifanye uwe busy usiwe na muda wa kuwaza pombe.
5. Pendelea kunywa juisi asilia za baridi tu na usome sana neno la Mungu kwani Mungu hapendi ulevi.
 
Nafsi inauhai namasikio na macho pia itasmini loss ambayo umeipata kutokana na unywajimwa pombe na angalia faida zake utaona faida ni chache kuliko hasara maana hasara ni nyingi AMUA MAANA UNAWEZA mshirikishe Mungu avoid marafiki ambao wanaushawishi kwako ktk unywaji wa pombe toka na familia out badala ya uliokuwa unatoka nao Mungu ni mwema atakupa marafiki ambao wataendana na wewe
 
pia kwa kuongezea, usije jifariji eti nanywea nyumbani. kama unaacha acha, kama unapunguza punguza. acha kama unaigiza hivi, utashangaa taratibu unaipotezea. marafiki ndo sooo. mie moja tu inanitosha, kuacha sitaki kusikia
 
Fanya Ibada Sana Maani Shetani ndiye anakusumbua, pia shiriki sana mazoezi wakati unapo kuwa free.
 
mkuu pole sana!, kwenye mada, nitatizo kubwa nadawa unayo wewe mwenyewe lkn huijui broo tatizo hili siwewe mwenyewe ni wa2 wengi wanalo lkn haowengi inakua hiv "umeajiriwa ktk ofc au kampuni fln muajiri wako anakua nimnywaji sana na anakua naww ktk kmpn zake zakila siku huwezi kukataa ukikataa unafukuzwa kazi, au unakuta wfanya kazi ktk ofic yako wana vikao vya kila jioni na nivya pombe ukijitenga kesho wanaanza kukuchongea ufukuzwe nilazima utajiunga nao, au unakuta wewe unafanya kazi ukitoka jioni unakutana na marafiki wa mtaani kwako na unakuta hawana kazi yao nikukupa umbea unapo rudi na mnakaa bar unajikuta unanunua2 mwanzo wa wiki mpaka mwisho wa wiki kama huna unajikuta unakopa bia bar ukizinyaka mwisho wa mwezi unalipa! broo chagua kampani uliopo nayo iache kama unataka kubadilika angalia, na kama unakunywa pombe kali unachosha in na likishindwa ku chuja uta anza kuvimba mashavu na badae 2ta kukosa wana jf broo kua makini fanya maamuzi sahihi,
 
Fanya maamuzi magumu,jivue gamba mwenyewe,amua kuacha,jiapize kwamba hutapiga tena,,,mimi nliweza japo inahitaj uwe jemedari!
 
Rudi kwa Muumba wako kama ni mkristu okoka na hudhuria kwa wingi mafundisho na soma biblia sana,kama upande wapili,hudhuria msikitini sana na piga swala 5 na achana na kampani yako ya sasa lakini kikubwa ni wewe mwenyewe KUAMUA NA UTAWEZA,ulevi nomaaaaa!!
 
Mpaka hapo umeridhika mkuu?? Au bado unatafakari
 
You are not serious. Maisha nin yako unatakiwa ufanye maamuzi siyo sisi tufanye hivyo. Endelea kunywa kijinga uone utakufa na breweries wanaendeles kutoa gawiwo kwa wanunua hisa. Si kila kitu kinachopendwa na wengi ni kizuri. Tumia akili.
Unque
 
kila jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako,hilo linawezekana,ni maamuzi tu,mbombe si nzuri.
 
Ndugu zangu, mbona mnamshauri huyu bwana vibaya? mnamshauri aache pombe, je mnataka serikali yenu iendeshwe vipi, kwani hamjui kuwa serikali ina tegemea pato kubwa kutokana na kodi ya pombe?

Nawashauri wote mnywe sana ili uchumi ukue, serikali ipate pesa za kununua mashangingi ya wizara na wakuu wapya wa mikoa.
 
maamuzi unayo mwenyewe, ukifika muda muhafaka utaacha tu bila hata ya kuomba ushauri.
 
Ngoja siku wakikupasulia yai utaacha tu wala hautaomba ushauri kwa mtu
 
mimi nina tatizo la kunywa pombe kupita kiasi, nimejaribu katika vipindi kadhaa kuacha lakini inakua kwa muda mfupi tu, siipendi hali hii natamani nisinywe tena katika maisha yangu imeniharibia mambo mengi sana ktk maisha yangu mpaka nakosa amani.
Nunuwa Pombe kama bia chupa moja kisha nenda nayo kaburini kaweke kwenye juu ya kaburi la mtu usiye mjuwa usiku weka asubuhi yake nenda kaichukue hiyo Pombe na uifunguwe na uanze kunywa hautakunywa tena Pombe itakuwa ndio mwanzo na mwisho fanya hivyo kisha unipe mimi feedback.
 
Wasalaaaam alyekhum ndugu zanguni,
nina mpwa wangu akinywa pombe tu anakengeuka na kuchanganyikiwa kwa maana ya kufanya vurugu na kupiga makelele.
sasa imefikia wakati kila ndugu na majirani wanamuona kero na hakuna anayetaka kuishi nae. ilifikia juzi baba yake alitaka ampeleke selo akapumzike huko. huwa anapewa sana ushauri na husikiliza ila akinywa tena ni tatizo.
ni mwanafunzi wa chuo cha TIA certificate yaani mpaka shule sasa inamshinda huyu dogo.
mimi binafsi naona ili kumsaidia NITAFUTE KAMA KUNA DAWA YA KUMPA ILI AACHE KUIPENDA POMBE ili maisha yake yasiharibike.
mwenye kujua dawa naomba anisaidie jamani.
ahsante
 
Back
Top Bottom