Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Amua na tafuta kampani nyingine itakayo kufanya uwe bize baada ya kazi! Mfano; kwenda viwanja vya michezo,gym au penda kutembea tembea na watoto kama unatoka kazini mapema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunuwa Pombe kama bia chupa moja kisha nenda nayo kaburini kaweke kwenye juu ya kaburi la mtu usiye mjuwa usiku weka asubuhi yake nenda kaichukue hiyo Pombe na uifunguwe na uanze kunywa hautakunywa tena Pombe itakuwa ndio mwanzo na mwisho fanya hivyo kisha unipe mimi feedback.mimi nina tatizo la kunywa pombe kupita kiasi, nimejaribu katika vipindi kadhaa kuacha lakini inakua kwa muda mfupi tu, siipendi hali hii natamani nisinywe tena katika maisha yangu imeniharibia mambo mengi sana ktk maisha yangu mpaka nakosa amani.