Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

kwann uache pombe wakati wazalishaji wanaendana na hali halisi ya maisha? siku hizi bia buku jero tu unaweza piga ukawa a.k.a pilsner lager, au mwendokasi a.k.a safari ndogo pia siku hizi kuna chuma kinaitwa balimi a.k.a kanda ya ziwa ambapo buku tano unapiga 3 bado na chenji ya jero kwa ajili ya nauli ya daladala inabaki. kunywa pombe ili kuendeleza taifa kwani bila kunywa bia no kodi
Balimi tu[emoji39] [emoji39]
 
Zinasaidia kuacha pombe za aina gani? Maana hizi gongo za mitaani kwetu zishaingia hadi kwenye mifupa.
 
Poleni kwa miangaiko ya wiki na pilika za hapa na pale!

Naombeni msaada tiba ya kumwachisha mtu kunywa pombe.

Hili tatizo la ulevi analo Baba mzazi ambapo akilewa tu , Mama anakosa amani kwa sababu anakuwa anapigwa tu, pasipo na sababu za msingi .

Lakini asipo kunywa pombe anakuwa ni mtu mwenye busara tu. Hivi karibuni amekuwa akilewa mfululizo kiasi ambacho vurugu nyumbani haziishi.

Kwa hyo kutokana na hili tatizo linapelekea Mama kukosa amani pale nyumbani, mpaka ndugu wa mama wamekuja juu kutaka kumwondoa dada yao pale nyumbani!

Nilishasikia tiba ya kumwachisha mtu pombe ni kumchanyia mkojo wake mwenyewe kwenye pombe!
Hili bado sijalifanyia kazi kwa kukosa ushuhuda thabiti kwa watu waliojaribu au kutibiwa!

Naomba mwenye kufahamu tiba yeyote ile au mwenye ushuhuda kwa hiyo tiba ya kumwekea mkojo wake kwenye pombe! Atakuwa amenipatia mwangaza mzuri!
 
Hata kama ukiamua kutafuta Dawa lazima itoke moyoni uwe na nia kwamba kweli unaacha

Jaribu kuanza na counselling ikigoma fanya plan nyingine
 
Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.

Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
 
Poleni kwa miangaiko ya wiki na pilika za hapa na pale!

Naombeni msaada tiba ya kumwachisha mtu kunywa pombe.

Hili tatizo la ulevi analo Baba mzazi ambapo akilewa tu , Mama anakosa amani kwa sababu anakuwa anapigwa tu, pasipo na sababu za msingi .

Lakini asipo kunywa pombe anakuwa ni mtu mwenye busara tu. Hivi karibuni amekuwa akilewa mfululizo kiasi ambacho vurugu nyumbani haziishi.

Kwa hyo kutokana na hili tatizo linapelekea Mama kukosa amani pale nyumbani, mpaka ndugu wa mama wamekuja juu kutaka kumwondoa dada yao pale nyumbani!

Nilishasikia tiba ya kumwachisha mtu pombe ni kumchanyia mkojo wake mwenyewe kwenye pombe!
Hili bado sijalifanyia kazi kwa kukosa ushuhuda thabiti kwa watu waliojaribu au kutibiwa!

Naomba mwenye kufahamu tiba yeyote ile au mwenye ushuhuda kwa hiyo tiba ya kumwekea mkojo wake kwenye pombe! Atakuwa amenipatia mwangaza mzuri!
baba yako anamiaka mingapi ...ili nikuambie umpe dawa gani
 
Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.

Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.

Baba mzazi?? [emoji3]
 
Unajua kufanya hivyo ni laana tena hiyo ni laana automatic hata vitabu vya dini vinasema naona mmeshachukulia wanaume poa kwa sababu ya hichi kizazi cha sasa ambacho kinashabiiana na nyie mwanaume ni kiumbe cha tofauti kilichowekwa kwa hii dunia kwa lengo la tofauti
 
Siwez kukubali mazaa apigwee kila sku kwa starehe zake baba nampa tu kipondo hata laaana szan kama itanifikia maana nitakuwa nimefanya jambo jemaaa
 
Aisee huyo angekuwa baba yetu tungemchangia tumpe kipondoo cha haja akalazwe hospital miez sitaaa nahis na pombe ataacha akirudia tunampa tena kipondooo akianza tu kumpiga mazaa lazima tuchangieee tumpige kisawasawaaa.

Aisee ngoja wajuvi wajee watusaidiee mbinu.
Yap tunampa tu makondee ya hajaaa yan familia yetu ukifanya kosaa kubwa unawekwa mtu kati unapigwaa kama mwiziii unapelekwa hospital alafu wanakuacha ukirudia habar ile ileee so hatunaga matukio ya ajabu ni mbinu aliyotupa babu yetu so heshima ipo kwenye mstari.
Kumpiga haikubaliki!! Ukithubutu kumpiga, Jiandae na wewe kupigwa na kizazi chako!!! (LAANA)
 
Siwez kukubali mazaa apigwee kila sku kwa starehe zake baba nampa tu kipondo hata laaana szan kama itanifikia maana nitakuwa nimefanya jambo jemaaa
Hiyo ni laana ina maana hata mafundisho hujapitia bibie au soma bibilia kidogo. Yaani baba hapigwi iwe amefanya makosa huruhusiwi yaani hiyo ni laana unabeba na kizazi chako hata yeye asipotamka
 
Sawa tu bhn kama laana ije tu
 
Back
Top Bottom