Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Acheni kumtibua mzee wa watu
Mnampa stress wenyewe mpaka pombe inakuwa pa kujifichia
Ongea ukweli kama unataka msaada na ushauri

Baba kawakuza mpaka hapo halafu unasema baba anampiga mama
Mwambie mama aweke maji mdomoni na asiyameze pindi mme wake anapoingia nyumbani
 
Poleni kwa miangaiko ya wiki na pilika za hapa na pale!

Naombeni msaada tiba ya kumwachisha mtu kunywa pombe.

Hili tatizo la ulevi analo Baba mzazi ambapo akilewa tu , Mama anakosa amani kwa sababu anakuwa anapigwa tu, pasipo na sababu za msingi .

Lakini asipo kunywa pombe anakuwa ni mtu mwenye busara tu. Hivi karibuni amekuwa akilewa mfululizo kiasi ambacho vurugu nyumbani haziishi.

Kwa hyo kutokana na hili tatizo linapelekea Mama kukosa amani pale nyumbani, mpaka ndugu wa mama wamekuja juu kutaka kumwondoa dada yao pale nyumbani!

Nilishasikia tiba ya kumwachisha mtu pombe ni kumchanyia mkojo wake mwenyewe kwenye pombe!
Hili bado sijalifanyia kazi kwa kukosa ushuhuda thabiti kwa watu waliojaribu au kutibiwa!

Naomba mwenye kufahamu tiba yeyote ile au mwenye ushuhuda kwa hiyo tiba ya kumwekea mkojo wake kwenye pombe! Atakuwa amenipatia mwangaza mzuri!
kuna jamaa yangu aliandika hiki kitabu. kinaeleza mbinu na dawa za kuacha pombe.

Cover photo.jpg
 
Poleni kwa miangaiko ya wiki na pilika za hapa na pale!

Naombeni msaada tiba ya kumwachisha mtu kunywa pombe.

Hili tatizo la ulevi analo Baba mzazi ambapo akilewa tu , Mama anakosa amani kwa sababu anakuwa anapigwa tu, pasipo na sababu za msingi .

Lakini asipo kunywa pombe anakuwa ni mtu mwenye busara tu. Hivi karibuni amekuwa akilewa mfululizo kiasi ambacho vurugu nyumbani haziishi.

Kwa hyo kutokana na hili tatizo linapelekea Mama kukosa amani pale nyumbani, mpaka ndugu wa mama wamekuja juu kutaka kumwondoa dada yao pale nyumbani!

Nilishasikia tiba ya kumwachisha mtu pombe ni kumchanyia mkojo wake mwenyewe kwenye pombe!
Hili bado sijalifanyia kazi kwa kukosa ushuhuda thabiti kwa watu waliojaribu au kutibiwa!

Naomba mwenye kufahamu tiba yeyote ile au mwenye ushuhuda kwa hiyo tiba ya kumwekea mkojo wake kwenye pombe! Atakuwa amenipatia mwangaza mzuri!
Kaishi Saudi Arabia japo kwa miezi sita hivi
 
... Nimechunguza nyota ya baba yako kwa makini. Ni nyota ya paka-shume. Nyota hii humfanya mtu kuwa kiburi, mlevi na mkorofi kupindukia
TIBA:
Chukua mavi ya punda dume changanya na manyoya ya mkiani ya bundi jike anaelalia mayai. Kisha chemsha supu ya korodani ya beberu tasa mweupe. Changanya na punje mbili za mtama mweusi. Usitie chumvi. Mpe anywe. Utaona matokeo. Ukikwama nijulishe nikusaidie. Mie dingi alikuwa hivyo pia. Baada ya tiba hiyo, hata akiona kifuniko cha chupa ya bia, anatimka kama mwehu, seuze pombe yenyewe.?
Siku hizi saa 10 tu yupo home kafunga msuli yupo barazani. Hata bi mkubwa sasa amenawiri kichizi. Juzi nilimtania mzee baba,... Vipi mzee, hutoki kidogo?! Hilo jibu nilopewa siwezi hata kueleza. Nikatoka kimya kimya... Nikamuacha anasoma gazeti lake la Mwananchi... Nadhani la juzi tena.
 
Tiba ipo sh40 tu kama uko safi njoo morogoro au tiba nyingine ni maziwa ya mama mtoto mchanga
 
Yap tunampa tu makondee ya hajaaa yan familia yetu ukifanya kosaa kubwa unawekwa mtu kati unapigwaa kama mwiziii unapelekwa hospital alafu wanakuacha ukirudia habar ile ileee so hatunaga matukio ya ajabu ni mbinu aliyotupa babu yetu so heshima ipo kwenye mstari.
Iyo apo ni bonge la tiba
 
Ushauri wa kwanza mumuombee ili hilo pepo limtoke,la pil jarbu kumuwekea mtego siku anatoka zake kunywa mvizie njiani kisha jifanye km jambazi kwa kumshitua ghafla,atatoka mbio mfukuze bila kumkamata aendelee kukimbia mpk pombe zote zitamtoka,harudii tena huyo,ikishindikana hizo mbili njoo useme nikupe ushauri wa tatu
 
Tafuta ulevi mwingine,wadada/wanaume, mpira,tumia muda mwingi wa ziada Kanisa LA wokovu, Usikae na cash ziada mbali ya nauli/mafuta pekee.
 
Dawa ya kuacha pombe Ni kumpokea Yesu ndani ya moyo wako

Ukimpa nafasi Yesu
Hutapata Tena kiu ya pombe
 
Mchanganyie vidonge viwili vya Metronidazole kwenye Pombe

Naomba nikutoe hofu kuwa hatokufa ,ila kitakachomtokea hatorudia tena pombe
 
Acheni kumtibua mzee wa watu
Mnampa stress wenyewe mpaka pombe inakuwa pa kujifichia
Ongea ukweli kama unataka msaada na ushauri

Baba kawakuza mpaka hapo halafu unasema baba anampiga mama
Mwambie mama aweke maji mdomoni na asiyameze pindi mme wake anapoingia nyumbani

Maji tena? Yanahusikaje?
 
Back
Top Bottom