Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
MapemaTukisha punguza inakuwaje sasa au ndo hatufiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MapemaTukisha punguza inakuwaje sasa au ndo hatufiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aokoke atapona kabisa yani shuhuda zipo nyingi.
Kiukweli mkuu yule mtoto alinizingua balaa, halafu kibaya akaniitaga mwanaume suruali nikajua tu nimeachwa sina pesa, niliendelea kumcall to keep close maybe anaweza change mind but nikawa jibwa koko tu.MZee bado huyo mwanamke kakukaka kichwani..dawa yake mtafute..mtafute roafiki ake au msogo ake wa kike mgongge halafu mtumie picha ndor utatatulia..kwenye swala la pomb.e..niacheni aisee badgdo ni tam...
Acha kutoa majibu ya jumla. Eleza kitaalamu tofauti na hapo kaa kimya.Dawa ni Yesu Kristo.
Mkuu Leo nimeamka kama nimepigwa niliiacha tangu Nov... January 22 nimerudi kwa kasiSiku zinakwenda namshukuru Mungu mapambano ya kuachana na pombe yanaendelea. Jumatatu ilikuaga balaa kwangu.
Mkuu Leo nimeamka kama nimepigwa niliiacha tangu Nov... January 22 nimerudi kwa kasi
Mkuu sasa nimeamua kunywa chache kuacha nimeshindwa na kukaa na watu wanaopitiliza kunywa nimetemana nao.
Niko napambana kuacha siku ya 51 Leo naona kama kuna mafanikio. mimi niliamua tu kuichukia Pombe. imenipotezea mengi mno kama sio pombe hata leo singekua nina type hapa
Uliporudi kutoka China afya yako ilikuwaje mkuu ?Habari wakuu, Mimi Nikijana mdogo Sana miaka 21 kuanzia nilipomaliza 4m4 sikutaka kuendelea Tena mwaka 2017, kuanzia mwaka 2019 nmekuwa namafanikio makubwa Sana lakini tatizo kwasasa nimlevi Sana najitahidi niache ila kampani yangu sio, kwasiku naweza maliza sh 30,000 mpaka 80,000 najitahidi niache ila mazingira yananshawishi Sana sipendi, nikiwa sijanywa naona maono mengi Sana Ila nkikinywa nalala mpaka asabihi tuu sioti chochote naamka asubuhi saa 11 Safi tuu Sina pombe wala kitu Ila nahofia Afya kupata mtoto kwakuwa Kuna mwanamke nampenda sana naoana Afya yangu yaUzazi Sasa haiko sawa.
Naombeni ushauli nbadilishe mazingira nijitenge wapi na marafiki niache japo mwezi tuuu maaana nikikaa Sana bila kunywa siku moja yapili tunaendelea, nafilisika wanangu hapa nmelewa sana, naombeni ushauli wandugu, l
AsanteniView attachment 1348715View attachment 1348716View attachment 1348718View attachment 1348719
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, Mimi Nikijana mdogo Sana miaka 21 kuanzia nilipomaliza 4m4 sikutaka kuendelea Tena mwaka 2017, kuanzia mwaka 2019 nmekuwa namafanikio makubwa Sana lakini tatizo kwasasa nimlevi Sana najitahidi niache ila kampani yangu sio, kwasiku naweza maliza sh 30,000 mpaka 80,000 najitahidi niache ila mazingira yananshawishi Sana sipendi, nikiwa sijanywa naona maono mengi Sana Ila nkikinywa nalala mpaka asabihi tuu sioti chochote naamka asubuhi saa 11 Safi tuu Sina pombe wala kitu Ila nahofia Afya kupata mtoto kwakuwa Kuna mwanamke nampenda sana naoana Afya yangu yaUzazi Sasa haiko sawa.
Naombeni ushauli nbadilishe mazingira nijitenge wapi na marafiki niache japo mwezi tuuu maaana nikikaa Sana bila kunywa siku moja yapili tunaendelea, nafilisika wanangu hapa nmelewa sana, naombeni ushauli wandugu, l
AsanteniView attachment 1348715View attachment 1348716View attachment 1348718View attachment 1348719
Sent using Jamii Forums mobile app