Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu pombe haiachiki aise labda apumzike tu kwa muda Fulani,maana Safari ya kuokoka ni mapumziko pia siku unarudia mahasi pombe inakuwa mkono wa kulia 2times early
 
Syston,
Mzee bado huyo mwanamke kakukaa kichwani..dawa yake .mtafute rafiki ake au mdogo yake wa kike mgonge halafu mtumie picha ndo utatatulia..Kwenye swala la pombe..niacheni aisee bado ni tamU...
 
MZee bado huyo mwanamke kakukaka kichwani..dawa yake mtafute..mtafute roafiki ake au msogo ake wa kike mgongge halafu mtumie picha ndor utatatulia..kwenye swala la pomb.e..niacheni aisee badgdo ni tam...
Kiukweli mkuu yule mtoto alinizingua balaa, halafu kibaya akaniitaga mwanaume suruali nikajua tu nimeachwa sina pesa, niliendelea kumcall to keep close maybe anaweza change mind but nikawa jibwa koko tu.

You know what siku hizi ananitafuta mwenyewe anajichekesha sina time, jamaa yake aliyemuona ana hela, mshahara anaopata kwa mwezi mie nauhakika kuingiza ndani ya siku 4, kibaya zaidi jamaa alipomzalisha akamwambia walee tu mtoto maana kwao wameshamtafutia mke wa kuoa (afu jamaa akaoa hapahapa mjini), mie nilimwambia tuoane kwanza ndio tuzae akaniona mshamba.

Nikuibie siri, usipoteze muda kumshauri mwanamke wako maana ye ataona kama unajipalilia tu.
 
Siku zinakwenda namshukuru Mungu mapambano ya kuachana na pombe yanaendelea. Jumatatu ilikuaga balaa kwangu.
 
Mkuu Leo nimeamka kama nimepigwa niliiacha tangu Nov... January 22 nimerudi kwa kasi

Mkuu ndio inakuwaga Hivyo ukiacha halafu ukaja kurudia inakua kama ni unakunywa mpaka zile ambazo hukunywa wakati ulipumzika.

Ila Jombaa kama uliweza kukaa zaidi ya siku 60 bila kunywa kwanini unakunywa tena?

Ni lini umekunywa ukalewa kesho yake asubuhi ukaamka kujipongeza kama sio kujilaumu tu kwanini ulikunywa jana?

Kuacha pombe kupo kwenye akili zet tu.

Say No to alcohol and that is it!!!

hayo mengine ya kupewa sijui njia gani ya kuacha pombe ni porojo tu. KUACHA POMBE NI KUAMUA!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu sasa nimeamua kunywa chache kuacha nimeshindwa na kukaa na watu wanaopitiliza kunywa nimetemana nao.

Good Move.
Mimi siku napata kiu ya Pombe nakumbuka matukio yangu ya ulevi hapo kiu inaisha ghfla.

Nimekua na matukio mengi sana. zikiwemo ajali zenye hasara kubwa, uzinzi wa kijinga, kuongea hovyo, kufanya matukio kesho yake unayasahau, kulala kwenye gari, kugombana na mke, maamuzi ya hovyo, matumizi ya hovyo,........... Name it all
 
Habari wakuu,

Mimi ni kijana mdogo sana miaka 21 kuanzia nilipomaliza 4m4 sikutaka kuendelea Tena mwaka 2017, kuanzia mwaka 2019 nmekuwa namafanikio makubwa Sana lakini tatizo kwasasa nimlevi Sana najitahidi niache ila kampani yangu sio, kwa siku naweza maliza sh 30,000 mpaka 80,000 najitahidi niache ila mazingira yananshawishi Sana.

Sipendi, nikiwa sijanywa naona maono mengi Sana Ila nkikinywa nalala mpaka asabihi tuu sioti chochote naamka asubuhi saa 11 Safi tuu Sina pombe wala kitu Ila nahofia Afya kupata mtoto kwakuwa Kuna mwanamke nampenda sana naoana Afya yangu yaUzazi Sasa haiko sawa.

Naombeni ushauli nbadilishe mazingira nijitenge wapi na marafiki niache japo mwezi tuuu maaana nikikaa Sana bila kunywa siku moja yapili tunaendelea, nafilisika wanangu hapa nmelewa sana, naombeni ushauli wandugu, l
Asanteni
IMG_20200206_185253_933.jpeg
IMG_20200204_152612_945.jpeg
IMG_20200204_152552_099.jpeg
IMG_20200206_185244_143.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Mimi nilikuwa hivyo kwa saana!! haikuwa rahisi kutoka! Kilichonisaidia nilihama mkoa na kuanza "kuthink big". Nikaanza kuwekeza katika project zenye changamoto kubwa kuliko kipato changu! Kwa kufanya hivyo kila senti niliyokuwa naipata kipaumbele chake kukamilisha project kiasi kwamba nikawa sina bajeti (balance) ya pombe. Hivyo nikitaka kunywa nakuwa mchungu sana na nikaanza ubahili.
Chakukushauli ni kwamba wewe unakipato cha kukuwezesha kulewa hizo pombekali na washikaji wako bila shaka wanazo. Kama washikaji zako hawana hela wewe ndo unawanunulia utakuwa "zwazwa". Chakufanya hata kama usipohama sehemu unayoishi anza miradi mbali na hapo unapoishi uzitekeleze pasipo "hao machalii" kufahamu. Utakuwa mchungu wa kila senti na utaanza ubahili wa kuona kutumia hela kwenye pombe utashindwa kumalizia projects zako. Ukimaliza project ya kwanza anza ya pili. Kama hujui utafanya nini njoo PM nitakuonyesha cha kufanya baada ya kufunguka na kuwa muwazi! All the best!
 
Habari wakuu, Mimi Nikijana mdogo Sana miaka 21 kuanzia nilipomaliza 4m4 sikutaka kuendelea Tena mwaka 2017, kuanzia mwaka 2019 nmekuwa namafanikio makubwa Sana lakini tatizo kwasasa nimlevi Sana najitahidi niache ila kampani yangu sio, kwasiku naweza maliza sh 30,000 mpaka 80,000 najitahidi niache ila mazingira yananshawishi Sana sipendi, nikiwa sijanywa naona maono mengi Sana Ila nkikinywa nalala mpaka asabihi tuu sioti chochote naamka asubuhi saa 11 Safi tuu Sina pombe wala kitu Ila nahofia Afya kupata mtoto kwakuwa Kuna mwanamke nampenda sana naoana Afya yangu yaUzazi Sasa haiko sawa.
Naombeni ushauli nbadilishe mazingira nijitenge wapi na marafiki niache japo mwezi tuuu maaana nikikaa Sana bila kunywa siku moja yapili tunaendelea, nafilisika wanangu hapa nmelewa sana, naombeni ushauli wandugu, l
AsanteniView attachment 1348715View attachment 1348716View attachment 1348718View attachment 1348719

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliporudi kutoka China afya yako ilikuwaje mkuu ?
 
Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years
Habari wakuu, Mimi Nikijana mdogo Sana miaka 21 kuanzia nilipomaliza 4m4 sikutaka kuendelea Tena mwaka 2017, kuanzia mwaka 2019 nmekuwa namafanikio makubwa Sana lakini tatizo kwasasa nimlevi Sana najitahidi niache ila kampani yangu sio, kwasiku naweza maliza sh 30,000 mpaka 80,000 najitahidi niache ila mazingira yananshawishi Sana sipendi, nikiwa sijanywa naona maono mengi Sana Ila nkikinywa nalala mpaka asabihi tuu sioti chochote naamka asubuhi saa 11 Safi tuu Sina pombe wala kitu Ila nahofia Afya kupata mtoto kwakuwa Kuna mwanamke nampenda sana naoana Afya yangu yaUzazi Sasa haiko sawa.
Naombeni ushauli nbadilishe mazingira nijitenge wapi na marafiki niache japo mwezi tuuu maaana nikikaa Sana bila kunywa siku moja yapili tunaendelea, nafilisika wanangu hapa nmelewa sana, naombeni ushauli wandugu, l
AsanteniView attachment 1348715View attachment 1348716View attachment 1348718View attachment 1348719

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom