Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Wakuu!

Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa...
NAKUSHAURI USIACHE Acha hizo.BIA TAMU SANA..mi silali usingizi bila kilaji. .Gordon's za kutoshaa na pakti ya embassy nilijaribu siku moja kulala bila kiraji sikupata usingizi kabisaaaa so ili nilale nahitaji kiraji, NITAACHAJE.?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Habari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
 
Habari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
Humu JF omba ushauri jinsi gani ya kula Tunda kimasihara ila kuacha pombe sijui mambo ya ndoa na maisha utaambulia kejeli tu
 
Back
Top Bottom