Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKUSHAURI USIACHE Acha hizo.BIA TAMU SANA..mi silali usingizi bila kilaji. .Gordon's za kutoshaa na pakti ya embassy nilijaribu siku moja kulala bila kiraji sikupata usingizi kabisaaaa so ili nilale nahitaji kiraji, NITAACHAJE.?Wakuu!
Naomba mnisaidie jinsi ya kuacha kunywa pombe, yani nakunywa sana bia.. Nataka kuacha ila nashindwa...
NAKUSHAURI USIACHE Acha hizo.BIA TAMU SANA..mi silali usingizi bila kiraji. .Gordon's za kutoshaa,na pakti ya embassy.....nilijaribu siku moja kulala bila kiraji sikupata usingizi kabisaaaa ...so ili nilale nahitaji kiraji,NITAACHAJE.?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
yeah, inaathiri maisha ya ndugu yangu kabisa yaani.Unaachaje pombe kabisa?
Umekuja kuuliza kiwandani sidhani Kama utapata majibu..😅
Pesa sio tatizoTafuta pesa ndo dawa hutakua na stress za kuwaza kuacha pombe...uache bia unywe nn sasa maji
Ni ndugu yako sio wewe?yeah, inaathiri maisha ya ndugu yangu kabisa yaani.
Usije danganywa eti maziwa ya nguruwe ni dawa.
Siwezi kukutaka radhi mpaka unionyeshe Kuwa unayo ndo niitake hiyo radhi alasivyo kalale ukue..😅Kwahiyo Jf ni kiwanda cha pombe???--- hebu tutake radhi upesi sana.
Habari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
Humu JF omba ushauri jinsi gani ya kula Tunda kimasihara ila kuacha pombe sijui mambo ya ndoa na maisha utaambulia kejeli tuHabari za leo wakuu,
Najua humu kuna baadhi yenu mnajiuliza swali kama langu.
Ni dawa gani unaweza kutumia ili kuacha pombe kabisa.
Hiyo radhi nionyesheni ndo nijue Kama mnayo nyie vilamba mwiko nini..😅