Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Disulfiram? inapatikana mahospital au? please nisaidieni mdogo wangu anateketea hv hv he is only 29years ila amekuwa kama kichaa hata mpaka anaharibu kazi kwa sababu ya pombe.
 
Sikushauri kupata dawa bila kuonana na daktari na kisha Mfamasia..nenda hospitali yeyote katika kitengo xha magonjwa ya akili na saikolojia utapata msaada zaidi, wao wataamua wamsaidie kwa namna gani...Pole.
 
mkuu kichwa cha habari unasema utata ktk ulevi mbona mimi sioni huo utata?? vyote ulivyotaja israel yumo ndani yake ukiendekeza vinakupeleka kaburini tofauti ni kwamba vingine vinaweza kukuwahisha na vingine vikakuchelewesha
 
Too much if anything is a bad thing. Sio kila kitu kinaweza kuponywa na vidonge. Unaweza ukaishia kumsababisha awe na drug dependency ambayo ni tatizo lingine pia. Ongea na ndugu yako, sijui Kama kuna rehab bongo...
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..
 
Badili ID kwanza, halafu kaa mbali na baa na mwisho ona bia kama kitimoto kwa Sheikh Ponda tehe tehe tehe.
 
Mzee wa Rula hahaha huo ushauri wako ni balaa
mkuu MKATA KIU ni uamuzi tuu kwamba sitaki tena pombe na na hamu inapokujia kunwa maji au tafuta kitu kingine chochote ambacho kinaweza kukusaidia kuondoa hiyo hamu ya bia
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya kuacha kitu chochote ni KUACHA. Nafsi yako ikidhamiria kwa dhati KUACHA utafanikiwa.
 
Mi mbona nakujua mkuu hahahahah. Usiogope ni joke, na hata kama nikikujua sidhani kama ni ishu sana maana nina hakika hata hao wanaokujua wanajua kuwa unakata kilaji. Sasa mkuu kama unataka kuacha pombe jaribu kuwa na marafiki wanaochukia hayo makitu. Njoo kwangu nikufundishe kutafuta usingizi kwa kutumia totoz lol
 
Ngoja aje Safari ni Safari hapa...akupige mabuti

Unaachaje kitu kizuri kama hicho? labda useme upunguze kidooooogo
 
Last edited by a moderator:
Naogopa kukushauri maana nami nimo kwenye kundi la wanywaji,so jamani aliyebahatika kuacha kunywa bia anaweza kutusaidia zaidi hapa.
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..

Achana na mawazo ya hovyo kama haya.i.e ya kuacha pombe_pombe ni dawa ya vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na tumbo na inachangia sana furaha ya kuishi pamoja na kuongeza siku za kuishi.

Hilo la mshahara kutotosha ni kawaida kwa watz wote,..ila jitaidi kuwa makini na mbunifu na matumizi ya ka-mshahara kako.

Kunywa pombe sio tatizo la matatizo yako.
 
Naogopa kukushauri maana nami nimo kwenye kundi la wanywaji,so jamani aliyebahatika kuacha kunywa bia anaweza kutusaidia zaidi hapa.

Kuacha kufanya kitu ambacho unafikiri sio muafaka sio bahati ni maamuzi tu,...hivyo amua
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..

Sababu ya wewe kuacha pombe ni nini hasahasa? Je lengo lako ni kupunguza matumizi ya pesa au unahis huenjoy unapokunywa?Au wa sababu bi mkubwa amezikuta zimejaa ktk friji? Lazima uwe na dhamira ya dhati kama ni kwa 7babu zipi unataka uache kunywa pombe vinginevyo usipojua sababu hasa ya kuacha hautaacha hata siku moja sanasana utaishia kujaribu then unarudia tena.So stick to reason ya msingi ya kukufanya kuacha na isimamie,you will make it!!!!!!
 
Mpaka sasa sijapata sababu yoyote ya kuacha pombe especially beer.. Yaani nikiikumbuka Guiness najisikia kama naimisi pepo.

Nakushauri uache pombe pale tu:
1. Unapokuwa umeshauriwa na daktari kwa sababu za kiafya
2. Unapokuwa huna hela ya kununua pombe hasa bia

Ni hayo tu kwa leo

Nakutakia unywaji mwema. Drink responsibly
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..

tafuta gal msaidiane kuanza maisha coz mayb unakunywa kutoa gap la upweke or some emptyness smhw
 
Back
Top Bottom