patricia Kichao
Member
- Oct 15, 2012
- 27
- 2
kuna dawa ya kuacha mtu hasinywe pombe au apunguze? naomba msaada wenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna dawa ya kuacha mtu hasinywe pombe au apunguze? naomba msaada wenu!
Disulfiram? inapatikana mahospital au? please nisaidieni mdogo wangu anateketea hv hv he is only 29years ila amekuwa kama kichaa hata mpaka anaharibu kazi kwa sababu ya pombe.
Heshima kwenu brothers and sisters,
Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu
Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..
Naogopa kukushauri maana nami nimo kwenye kundi la wanywaji,so jamani aliyebahatika kuacha kunywa bia anaweza kutusaidia zaidi hapa.