snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
AHAHAHHAHAHA !hili somo mi huwa sifundishi darasani kwetu lakini ila najua wanafunzi wangu mnalilipi tuition hili ngoja aje Kaizer hapa usikie mapwenti yake aliyotoa mchikichini au kwa ustaadh temekeMpaka sasa sijapata sababu yoyote ya kuacha pombe especially beer.. Yaani nikiikumbuka Guiness najisikia kama naimisi pepo.
Nakushauri uache pombe pale tu:
1. Unapokuwa umeshauriwa na daktari kwa sababu za kiafya
2. Unapokuwa huna hela ya kununua pombe hasa bia
Ni hayo tu kwa leo
Nakutakia unywaji mwema. Drink responsibly
Last edited by a moderator: