Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Mpaka sasa sijapata sababu yoyote ya kuacha pombe especially beer.. Yaani nikiikumbuka Guiness najisikia kama naimisi pepo.

Nakushauri uache pombe pale tu:
1. Unapokuwa umeshauriwa na daktari kwa sababu za kiafya
2. Unapokuwa huna hela ya kununua pombe hasa bia

Ni hayo tu kwa leo

Nakutakia unywaji mwema. Drink responsibly
AHAHAHHAHAHA !hili somo mi huwa sifundishi darasani kwetu lakini ila najua wanafunzi wangu mnalilipi tuition hili ngoja aje Kaizer hapa usikie mapwenti yake aliyotoa mchikichini au kwa ustaadh temeke
 
Last edited by a moderator:
tafuta gal msaidiane kuanza maisha coz mayb unakunywa kutoa gap la upweke or some emptyness smhw

mamdogo mi nakufagilia kwa kucheck opportunities ,ah we ni noma i see! MKATA KIU hebu fata ushauri wa mamduchu hapa ili uache pombe!ahahhahahhaaah chezeya mamdogo akiwa na darubini ya fursa wewe!ala!
 
Last edited by a moderator:
Usipende kwenda restaurant/bar na kampani yako ya mwanzoni coz vishawishi ndipo huanzia. Kuhusu hzo za nyumbani zaweza kubakia tu ili akija friend wako unampatia.
 
Njoo ulewe kwetu, watoto wa mbwa wana jinamizi lao, wanakuwekea kwenye bia, wanaenda kukuoa hadi ukome, kesho yake ukiamka utakuwa na mawili, eitha uache bia, au uendelee na bia na kisha uwe sio riziki
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..
 
Na akimpata girl chapombe kuliko yeye?

kuna mtu kakushauri utafute kipopo uweke ndani, ila kinaweza kukusababishia upunguze kunywa kwa muda, ila mapenzi/ ndoa za kibongo migogoro huwa haikawii unaweza ukaja kuzibugia kuliko unavyozinywa sasa ili upoteze mawazo. Na mimi nisaidieni dawa ya kuacha valeur na grant's. Sijui labda tuokoke ndio tutafanikiwa.
 
tafuta gal msaidiane kuanza maisha coz mayb unakunywa kutoa gap la upweke or some emptyness smhw

Sasa naona wewe unataka kumpeleka kwenye ulevi mwingine ,asije akaanza kuwabadilisha kama bia halafu baadaye tupate tabu ya kumshauri jinsi ya kuacha.
 
thanx wote kwa michango tenu,, tatizo ni kwamba sipend kunywa bar as kuna kelele,, napendaga kunywa home tu huku nachek mpira, movies or playin games... Kama nikiamua kutoka may be niende clubs,or bar na washkaj tena hii ni mara chahe as home ndo my best place to have a drinks...

Abt girls sizan kama ndo sababu as nimeshakuw kweny mahusiano but still nakunyw bia daily,,,, kinachoniuma pesa nyingi inaishia kwenye beer lakini siwez kuacha pombe hata iweje,,, napofanya kaz salary ni ya kawaida tu but kuna vi per diem na hela ndogo ndogo za kazi za nje waliopo kwenye big 4 proffessional firms wanaelewa,,, wenzangu wengi wanasogea sana as wanasave sana ndo kinachoniuma wakati mimi nikipata per diem tu navuta crates kazaa ndani,, nyingine nikiweka mafuta full tank imetoka hiyo,,, hizi bia naona zinanifanya nisiendeleee... I wish nami nijenge hata vyumba viwili but kwa mwendo huu nahisi sitafika
 
Dawa iko mimi naivutia muda tuuuu! Aut yangu keshaacha ulevi kabisaaa, akisikia harufu tu ya biereee anatapika mpaka maini!!!!!!!!!

Dawa ni kupima kisoda kimoja cha maziwa ya kitimoto na kumix na bia aina ya Safari. Baaaaaaaaaaass Safari yako imeisha!!!!! Dawa hii watu wengi sana wamewawekew waume zao kwishaaaa habari yao!!!!!!!!! Unawakuta Hongera bar na Soda Fanta nnzi wamewazunguka!!!!!!!!!

Ukishindwa kuna muombeaji anaombea, hadi unatapika, ukitoka hapo hunywi tenaaaa! Mama Lara 1 anataka twende huku tukaokolewe, Mi nimemwambia kaona ujana wake umeisha ndo aniponze, akuuuu! Labda anifunge kamba.
 
mamdogo mi nakufagilia kwa kucheck opportunities ,ah we ni noma i see! MKATA KIU hebu fata ushauri wa mamduchu hapa ili uache pombe!ahahhahahhaaah chezeya mamdogo akiwa na darubini ya fursa wewe!ala!

hahahahahah umenistukia ! Chuna basi wanga wasijue
 
Last edited by a moderator:
Sababu ya wewe kuacha pombe ni nini hasahasa? Je lengo lako ni kupunguza matumizi ya pesa au unahis huenjoy unapokunywa?Au wa sababu bi mkubwa amezikuta zimejaa ktk friji? Lazima uwe na dhamira ya dhati kama ni kwa 7babu zipi unataka uache kunywa pombe vinginevyo usipojua sababu hasa ya kuacha hautaacha hata siku moja sanasana utaishia kujaribu then unarudia tena.So stick to reason ya msingi ya kukufanya kuacha na isimamie,you will make it!!!!!!

Kaka nataka niache ili nipunguze expenditures kwenye pombe as naona sio kitu cha lazima, nami nipate hata kajumba ka jasho langu nje ya mji.. As washkaji wanasogea sana mimi bado nipo nipo tu,,, I know myself siwez kuishi ki bachelor bila dstv, broadband internet, na mengineyo as nitakuwa bored sana as kuish alone bila entertainment ni ngumu kumeza,, zote hizo zinahitaji kulipiwa bills, plus na bia juu nazo zinaongeza gharama,, ni bora hiyo hela ya bia kila siku nifanyie kitu kingine cha maendeleo,,,,, maana umri nao unasogea
 
Heshima kwenu brothers and sisters,

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha kunywa bia as nimejitahid nimeshindwa,,, kila nikisema leo naacha najikuta naacha kunywa ndovu nahamia castle light, nikisema tena naacha unakuta natoka kwenye castle light nahamia windhoek,, nifanye nini ili niache maana kila siku nisipopata hata bia 4 usingiz hauji najihis kama mgonjwa.. Hii inakuaje? Maana juzi b mkubwa kaja kunivisit kwangu hadi akachoka as akifungua friji hakuna cha nyanya wala bilinganya ni castle tu zimejipanga hadi nikajisikia vibaya na hapa ndo kwanza 26,,,, nimebahatika kupata ki ajira after school but daily naona mshahara hautoshi but wenzangu wanapata mshahara mdogo na hawana marupurupu yoyote lakini unawatosheleza hii inakuaje,, nifanyeje niache bia mwenzenu

Nimeamua kuwa open as hapa hatujuani lakini tunashauriana mambo muhimu na najua wengi mna njia za kuacha bia..

Ni PM nitakuelekeza mahari tulikochukua dawa ya kuacha pombe na bangi ya mdogo wetu maana yeye alikuwa amekubuhu na tulitumia kila aina ya dawa ilishindikana lakini kwa dawa ya huyo mzee hata umwekee bia namna gana hataki hata kusikia harufu yake
 
Ichukilie bia kama sheikh ponda,radio imaan n co.ltd wanavyoichukulia dini ya kikristo na wakristo...
- sasa ww fanya hivi uchukie MFUMO BIA WOTE
 
mnatuzingua na hizo habari zenu za kuacha,hapa nishakamua mzinga mkubwa wa konyaji,ubongo unasoma positive hata walionikosea nimewasamehe kesho naanza maisha mapya,kama kuacha kivyakovyako ukafie mbele na mipepsi na micokakola yenu na mijuice yenye sumu kali bila kilevi.mia
 
Huna majukumu wewe, halafu unajidekeza saaaaana na kama sivyo wewe ni mtoto wa fisadi flani home kuna hela za kuchota tuuu!
Ati huwezi kuacha bia??? Ungekua unadaiwa maziwa ya watoto, kodi ya nyumba, school fees, pesa ya kutunza wazee, wife hujamvisha, matibabu ya familia yako, msosi kuanzia breakfast, lunch hadi dina,,,,,,,na kwa huo mshahara unaosema mdogo ungepaona bar kama gereza la segerea

jiangalie saaana maana maisha hayamsubiri mtu usikujutia fainali
 
Back
Top Bottom