Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Young fadson

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,406
Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA, kwakuwa kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali,

Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
 
Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA , kwakua kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali,

Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
acha tufumbe kichwani, isije tukasema twakukatisha tamaaa.. ila sio rahisi hata kidogo hasa kipindi hiki
 
Nina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA , kwakua kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali,

Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
Niongezee swali

Je waweza pata tenda bila kua VAT / VRN registered
 
Kwanza nikukatishe tamaa kabisa. Kama huna refa wa serikalini ambaye atakuwa anakupa kazi jiandae kisaikilojia. Hukatizi.
Hata hivyo maadam unalilia wembe ngoja nikupe.
1. Brela unayo.
2. Pata TIN
3. Pata leseni ya kuuza fenicha
Google taneps, anza kujisajili. Utapata usajili huo. Hapo zitakuja tenda kubwa kubwa za fanicha ambazo masharti yake huyawezi. Maana huna mtaji, huna VAT.

Subiri kwenye email yako iko siku utaona GPSA wametoa tenda za kujisajili kuwa wasambazaji wa vitu mbalimbali. Hapa kila mkoa una tenda yake. Kama leseni yako ni ya Dodoma lazima uchague tenda ya fanicha ya Dodoma. Utajaza watakusajili. Hapo utapata tenda ndogondogo za mkoa huo tuuuuu. Ndio utaratibu wao. Hata kiti kimoja itakuja.
Hapo utasubiria machungu. Ukitenda ukifungua utakuta mko 50 mliopeleka tenda na wewe ni wa bei yako ni ya 40.
Pambana kijana.
 
Back
Top Bottom