Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Hakika kwa majibu mliyompa bila shaka makaratasi ya usajili wa hiyo kampuni yake kashafungia vitumbua vya mama Kidawa.
Nafuatlia huu mdahalo kwa ukaribu ndugu, elimu ya familia hii hupatikana pasipo itoaji ada
 
Mkuu samahani.ila.nitakuuliza swali muhimu sana ili niweze kukupa ABC za namna ya kuendesha kampuni. Ukiona inafaa utanijibu.

Kwanini mmesajili kampuni?

Majibu ya hili swali yataniambia nikushauri nini Mkuu.

Karibu.
 
Unaweza nijibu mimi...mimi nina kampuni nilisajili ili nifanye shughuli binafs
 
Back
Top Bottom